Tunamchagua Lissu tu maana hayo ma international airport ya chato wanakotua popo hatuyahitaji tunahitaji fursa ya maisha bei za sukari mkate mafuta chini
 
yaani kazi mnayo hivi kweli unajipa kazi ya kuumiza kichwa chako kutunga mashairi yote hayo kwa mtu ambaye unajuwa kabisa hatapata uraisi mbona unajipa mawazo yasiyo na msingi we mdada
 
Huwa wanadanganywa na nyomi kipindi hiki cha kampeni, wakipata kura chache matokeo yakitoka wanaanza kudai wamefanyiwa fitina.
 
Yaan inchi wachukue chadema?!!! ,bandali,TRA watafanya shamba la bibi, full kupiga, wabunge wao nguli, Sungu, sjui unampa wizara gani?; Mde,Lema, haki ya nani inchi wanauziwa wazungu
tunauzwa wote hapo kila mtu njaa kali sana mfano lema kazi yake inajulikana sasa ndiyo wamkabizi wizara duuuuuu ataiba mpaka viti
 
..kiwango cha tozo ya bima ya afya kitalingana na gharama za maisha za Tanzania.

..ni makosa kufikiria kwamba tutalipa sawa na wa-Canada, wa-Jerumani, au wa-Belgiji.

Rwanda: the beacon of Universal Health Coverage in Africa
 
Bado unanichanganya, yaani nilipe bima laki tatu kwa mwezi ukanilaze amana ile wodi ya bodaboda. Hiyo hapana mkuu
Akili za wafuasi bwana bwana mnafikiri mlivyoshindwa kuboresha huduma za hospitali basi na CDM itashindwa?
 

Alitakiwa kulipiwa gharama za matibabu, chakula na malazi kwa siku zote alizokuwa huko
 
Wewe ndio mpumbavu na unayejidanganya mwenyewe

utapeli ya 190,000 ya bima unaenda hospital unaambiwa dawa hakuna.
Mkuu, kwani vipi! Mbona mkali Sana Sana?

Tunafaidika nini Sisi na matusi hayo mkuu" watu kama ninyi tunatarajia kupata kitu pindi mnapochangia hizi mada, sasa inakuwaje tena chief
 
Kumbe matibabu ukiwa nje ya nchi ulaya ni bima tu ?

Ulipii pango ulipii Kodi ulipii chochote unaishi miaka 3 ulaya?

Unakula kwa bima unaishi kwa bima unasafiri kwa bima .

Uliza Kwanza ndungai alitibiwa vipi kwa Bilion 12 India.?
Hapa uzi ulikuwa unaishia.
 
Wewe ndio mpumbavu na unayejidanganya mwenyewe

utapeli ya 190,000 ya bima unaenda hospital unaambiwa dawa hakuna.
Kuongea na mtu anayekataa kufikiria ni kazi sana kaka. Ubelgiji na Tanzania ni tofauti sana kwa kila kitu, akijua minimum wage ya Belgium na Tanzania ndio ataweza tambua Euro 275 ni nyingi au chache.
 
Nasikia aliyekuleta duniani alibakwa wakati anauza pombe ya kienyeji.
Nasikia hivi....
Nasikia vile...
Endelea kusikia.
Kumbe alipokuwa Ubelgiji alibakwa na Robert Armstadarm,apo sawa nimeelewa.
Sasa mbona kaja bonbo na kiduku kanyoa?
 
ukicheki gharama za maisha za Ubelgiji zilivyo na uchumi wake ulivyo, euro 275 ni hela ndogo sana kwa matibabu ya mwaka mzima, kule watu wana minimum wage wa dola 15,000 au milioni 35 kwa mwaka,

to be honest bima za afya za Tanzania ni kubwa sana ukilinganisha na pato la mtanzania kwa wastani, nikicheki gharama za kujitibu mimi,mtoto wangu,mume na mama kwa mwaka mzima ni nafuu zaidi kuliko gharama za bima ya mwaka, so pointi ya bima ni nini kama haipunguzi gharama kipindi cha majanga (magonjwa)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…