Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mpwa, nimerudi Dar jana usiku naelekea Kigamboni, hivi wamepunguza bei au nikapige mbizi?Imefikia hatua inakuwa ngumu kuzungumzia ujenzi wa uwanja wa ndege Chato,sijui tatizo ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa, nimerudi Dar jana usiku naelekea Kigamboni, hivi wamepunguza bei au nikapige mbizi?Imefikia hatua inakuwa ngumu kuzungumzia ujenzi wa uwanja wa ndege Chato,sijui tatizo ni nini
yaani kazi mnayo hivi kweli unajipa kazi ya kuumiza kichwa chako kutunga mashairi yote hayo kwa mtu ambaye unajuwa kabisa hatapata uraisi mbona unajipa mawazo yasiyo na msingi we mdadaNimejaribu kupekua mafaili yote ya wizi na ufisadi ndani ya Nchi hii yaliyojaa kila ofisi lakini sikufanikiwa kuona andiko hata liliofutika linaloeleza kashfa ya Mgombea Urais wa Chadema ambaye pia ni Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu.
Huyu mtu ni msafi kama theluji , hajawahi kudokoa , kudhulumu chochote popote , hajawahi kudhulumu nyumba ya Serikali wala ya mtu yeyote , hajawahi kuiba mtumbwi wa mtu, hajawahi kudhulumu boti ya uvuvi pale feri wala hajawahi kuiba Meli yoyote , ni mtu asiye na makandokando yoyote .
Tunaamini kwamba ameletwa na Mungu Mwenyewe kuja kuleta Uhuru kamili ndani ya nchi hii na amekuja kuleta furaha iliyotoweka kwa zaidi ya miaka mitano
View attachment 1558038
Ukifuatilia sera yake ya Elimu utagundua kwamba ameletwa maalum kuboresha elimu ya nchi hii ambayo mara zote imeshindwa kumkomboa mwanafunzi
View attachment 1558041
Wananchi wote wamemkubali na wameapa kumpa kura zao ili awaondolee dhiki kwa kuleta maendeleo ya kweli ya watu wa nchi hii
View attachment 1558044
Njia pekee ya kumdhibiti mtu huyu kutwaa Urais wa Tanzania ilikuwa ile ya risasi 38 iliyofeli baada ya Mungu aliye hai kuikataa , na sasa tunahesabu masiku machache kabla ya Tanzania kujitwalia Uhuru kamili .
Mungu mbariki Tundu Lissu
Mbona hujibu swali? Watanzania wote wanaweza kupata Euro 275?
Huwa wanadanganywa na nyomi kipindi hiki cha kampeni, wakipata kura chache matokeo yakitoka wanaanza kudai wamefanyiwa fitina.adhulumiwe nini? , huwezi shinda urais bila kuweka base kweny mashina, yaani vijijini huko, zunguka vijijini uone namna watu wengi walivyo kuwa CCM, vyama vya upidhani wanadhani mitandao,vijana mijini tena wale oya oya ndo base ya ushindi, bila kuwekeza kufungua matawi ya chama kila kijiji na mpaka vitongoji wasahau
tunauzwa wote hapo kila mtu njaa kali sana mfano lema kazi yake inajulikana sasa ndiyo wamkabizi wizara duuuuuu ataiba mpaka vitiYaan inchi wachukue chadema?!!! ,bandali,TRA watafanya shamba la bibi, full kupiga, wabunge wao nguli, Sungu, sjui unampa wizara gani?; Mde,Lema, haki ya nani inchi wanauziwa wazungu
Rwanda ina idadi ya watu wangapi? Kwanza alitakiwa atoe bure huduma za afya.Mbona Kagame kaweza ??
KUMBE INAHITAJI AKILI TU. BILION 12 ALIKUWA ANAUMWA NINI?
Akili za wafuasi bwana bwana mnafikiri mlivyoshindwa kuboresha huduma za hospitali basi na CDM itashindwa?Bado unanichanganya, yaani nilipe bima laki tatu kwa mwezi ukanilaze amana ile wodi ya bodaboda. Hiyo hapana mkuu
Jana mh Lissu alivyokuwa tabora alisema anatamani nasisi tupate huduma nzuri ya afya kama aliyopata yeye Ubelgiji, kwa kweli ni jambo jema sana. Kasema alivyofika huko aliuliza sasa gharama itakuwaje? akaambiwa alipie Euro 275 tu na atatibiwa kwa mwaka mzima, kwa exchange rate ya leo euro moja ni sawa na Tshs 2748.07, kwa maana nyingine alilipia Tshs 756,000/=. Hiyo ndio bima ya watu wa kawaida wa Ubelgiji.
Lakini juzi Mh Lissu alivyokuwa Shinyanga alilalamika JPM kumnyima hela ya kutibiwa kwa maana nyingine alinyimwa Euro 275. Sitaki kuamini hayo alifanyiwa. Hoja yangu ni kama kila mtanzania atalipa euro 275 naamini huduma zetu zitakuwa bora sana ikiwezekana zaidi ya huko Ubelgiji lakini watanzania wangapi wenye huo uwezo wa kulipa euro 275?
Je, hii ndio bima nafuu anayo tuhabarisha huyu mheshimiwa? Wazo lake ni jema tatizo uwezo wa watanzania kumudu ndio shaka ilipo? Na ukiwa huna maana yake ufe, au? kwa sasa kama hauna bima kumwona daktari ni bure na matibabu ni bure katika zahanati za umma na vituo vya afya.
Propaganda za kitoto karne hii?Uliza Kwanza ndungai alitibiwa vipi kwa Bilion 12 India.? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]The most expensive patient on earth....!!!
Jr[emoji769]
Tatizo lako akili yako umeiwekaMbona hujibu swali? Watanzania wote wanaweza kupata Euro 275?
Mkuu, kwani vipi! Mbona mkali Sana Sana?Wewe ndio mpumbavu na unayejidanganya mwenyewe
utapeli ya 190,000 ya bima unaenda hospital unaambiwa dawa hakuna.
Hapa uzi ulikuwa unaishia.Kumbe matibabu ukiwa nje ya nchi ulaya ni bima tu ?
Ulipii pango ulipii Kodi ulipii chochote unaishi miaka 3 ulaya?
Unakula kwa bima unaishi kwa bima unasafiri kwa bima .
Uliza Kwanza ndungai alitibiwa vipi kwa Bilion 12 India.?
Kuongea na mtu anayekataa kufikiria ni kazi sana kaka. Ubelgiji na Tanzania ni tofauti sana kwa kila kitu, akijua minimum wage ya Belgium na Tanzania ndio ataweza tambua Euro 275 ni nyingi au chache.Wewe ndio mpumbavu na unayejidanganya mwenyewe
utapeli ya 190,000 ya bima unaenda hospital unaambiwa dawa hakuna.
Kumbe alipokuwa Ubelgiji alibakwa na Robert Armstadarm,apo sawa nimeelewa.Nasikia aliyekuleta duniani alibakwa wakati anauza pombe ya kienyeji.
Nasikia hivi....
Nasikia vile...
Endelea kusikia.
Mbona ipo wazi yule mgombea wenu baasha wake ni Armstadam!!!.Aliwahi kukunyoosha marinda?
ukicheki gharama za maisha za Ubelgiji zilivyo na uchumi wake ulivyo, euro 275 ni hela ndogo sana kwa matibabu ya mwaka mzima, kule watu wana minimum wage wa dola 15,000 au milioni 35 kwa mwaka,Jana mh Lissu alivyokuwa tabora alisema anatamani nasisi tupate huduma nzuri ya afya kama aliyopata yeye Ubelgiji, kwa kweli ni jambo jema sana. Kasema alivyofika huko aliuliza sasa gharama itakuwaje? akaambiwa alipie Euro 275 tu na atatibiwa kwa mwaka mzima, kwa exchange rate ya leo euro moja ni sawa na Tshs 2748.07, kwa maana nyingine alilipia Tshs 756,000/=. Hiyo ndio bima ya watu wa kawaida wa Ubelgiji.
Lakini juzi Mh Lissu alivyokuwa Shinyanga alilalamika JPM kumnyima hela ya kutibiwa kwa maana nyingine alinyimwa Euro 275. Sitaki kuamini hayo alifanyiwa. Hoja yangu ni kama kila mtanzania atalipa euro 275 naamini huduma zetu zitakuwa bora sana ikiwezekana zaidi ya huko Ubelgiji lakini watanzania wangapi wenye huo uwezo wa kulipa euro 275?
Je, hii ndio bima nafuu anayo tuhabarisha huyu mheshimiwa? Wazo lake ni jema tatizo uwezo wa watanzania kumudu ndio shaka ilipo? Na ukiwa huna maana yake ufe, au? kwa sasa kama hauna bima kumwona daktari ni bure na matibabu ni bure katika zahanati za umma na vituo vya afya.