Yaan jana nilikutana na Lissu live kidogo nizimie kwa furaha yule ni mtu wa ajabu
Lazima kifuniko ulikichafua sana kwa hiyo hamu yako, ulishindwa kupata hamu wakati ule yupo fit unakuja kuileta hamu yako leo unaona jamaa ana risasi kiunoni!!
 
Ccm sela wana C & P kwa CDM
 
Nawasikia watu mara oh Lisu azungumzie sera, atafanya nini katika nyanja mbali mbali za kijamii etc! All this is rubbish kama hakuna UHURU! Lissu yuko sahihi, kitu cha kwanza ni ku- regain our FREEDOM IN ALL WALKS OF LIFE AMBAZO ZIMEVURUGWA/ ZIMEPOLWA NA UTAWALA WA AWAMU YA TANO! Haya ya sera na upuuzi wowote awe anarushia rushia tu!

Waamshe watu akili kuwa wanaonewa, wanadhulumiwa, wanateswa, wanapotezwa, wamenyang'anywa UHURU WAO na mengine. Baadaye rushia kidogo habari ya sera, atafanya nini wakimpa kura za kushinda.

Mandela na wenzake wapigania uhuru wote duniani, walipigania UHURU wao kwanza, kuhamasisha watu wajitambue kuwa hawako HURU, haya ya sera yalikuwa kidogo katika harakati zao!
 
Kwamba Ndege,barabara na reli ni maendeleo ya vitu hayafai halafu anaahidi kujenga masoko!

Hizo bidhaa za kuuza hadi usiku Mbeya zitakuwa zinafika hapo sokoni kwa miguu?
Ilani ya CHADEMA imelenga service delivery

Ilani ya ACT imelenga economic growth

Ilani ya CCM imelenga infrastructures

Tatizo lenu vichwa vyenu mmejaza mavi ndiyo maana mnahoji hata vitu obvious tu
 
Nimefuatilia hotuba anazotoa Tundu Lisu, Ni hotuba zilizojaa matumaini kwa kila mtanzania, katika mikoa aliyo Kwisha kupitia amegusia kila Jambo muhimu linalo husu mkoa husika, iwe Ni ktk biashara , kilimo, madini, masoko ya mazao, nk. Lakini hakuacha kuwazungumzia wafanyakazi katika nyanja zote.

Kwa kweli Kama kuna sehemu ambayo hajaizungumzia Basi Ni mapungufu ya kawaida. Bila ya kuficha na najua kuna watu wameumbwa kwa chuki tu ,mambo yaliyo fanyika kwa miaka hii mitano Kama wapiga kura wa nchi hii watayaruhusu tena kwa kupitia sanduku la kura hatutakuwa na wakumlaumu, Lisu amewaeleza watanzania Hali halisi ilivyo, Tena ukimuangalia unaona kuwa anacho kisema ana maanisha kabisa toka moyoni.

Tutafakari wote kwa makini hii miaka mitano je tunahitaji mingine Kama hiyo?
 
Tunamwaga pombe October..........................Tunaenda na Lissu this 2020,
 
Sasa huyu anayedhani akimsema baba wa Taifa na kuhudhurisha familia ya Nyerere Mara anafikiri anawakonga mioyo wakazi wa Musoma kumbe hata ccm yake wameshawatema mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…