Comrade acha unaa ...hizo ni sera za CHADEMA nasi tuna sera zetu tu ingawa atusemi tutazifanyaje..mfano milioni 50 kila kijiji.
 
Ni duniani gani hiyo ambayo kipindi cha kampeni mgombea anatoa hadi mbinu zanamna yakutekeleza ahadi zake?.ndugu kampeni ni mkutano sio kikao aise.Hata kama ingekua ni kikao bado hakuna mtu anayeweza kuzungumza mambo yote hayo kulingana na muda uliopo.
 
Acha kujitekenya mkuu
Vipi umezipenda Nini ?
 
Yote aliyoongea hakuna hata moja lililoko ndani ya sera na ilani ya Chadema huyu Lisu hajui hata kuwa mgombea Uraisi maana yake nini

Waandishi wa habari ombeni sera na ilani ya Chadema mlinganishe na anavyoongea Lisu . Lisu anaongea vitu anavyoota hewani kinachomjia hewani ndicho anasema nitafanya!!! Very sad

Chadema mlazimisheni anadi sera na ilani za Chadema zilizopitishwa na chama aache kutunga vitu hewani

Aheshimu maamuzi ya Chadema asijitungie vyake msipomlazimisha hatajali Ni very arrogant .Sasa sera na ilani mlipitisha za Nini Kama mgombea Uraisi hazinadi? Mlipitisha Kama pambo au?

Lisu anaongea Kama mgombea binafsi Sio wa chama.Mgombea wa chama lazima anadi ilani na sera za chama Sio ndoto zake !!!

Lisu Leo Tena kashindwa kuwasilisha sera na ilani ya Chadema siku ya pili ya uzinduzi

Huyu hakujiandaa kwa Uraisi kupitia chama yupo yupo tu
 
Acha kujitekenya mkuu
Vipi umezipenda Nini ?
Hazimo kwenye sera na ilani ya Chadema nitapendaje vitu vya mtu kujitungia .Vingekuwa ndani ya sera na ilani Sina shida ninachokataa kwa nguvu zote Lisu aache kujitungia vitu vyake hewani anadi sera na ilani ya Chadema
 
Mara hamna sera...sasa wamesema na kusoma Ilani yao eti yanatoka kichwani...kwahiyo mlitaka yatoke miguuni?
 
Usiseme sehemu kubwa ya Watanzania.

Hivi wafanyakazi wa umma hapa nchini ni % ngapi?

Mishahara siyo kwa wafanyakazi wa umma tu hata sekta binafsi zinategemea na mabadiliko ya mishahara serikalini pia kadiri serikali invoongeza mishahara yake ndivo hata sekta binafsi zinavoongoza pia kwahiyo tatizo la kutokupanda kwa mishahara linagusa wafanyakazi wote.
 
Unataka mikakati gani wakati yeye Hazina itakuwa chini yake .... zimetoka wapi wakati hata kwenye i ?Wewe hausikii kila siku anatuimbia Tanzania ni nchi t
Kama majibu ndiyo haya yaani ndiyo msimamo wa Chadema juu ya mambo mazito ya nchi,basi sikusumbui tena kukuomba ufafanuzi. Lakini, kama unapotosha, kwamba huu siyo msimamo wa Chadema basi, Mkuu, unakihujumu chama hicho. Hii si sahihi.
- - -
Lissu ajiepushe na ahadi za " kujazana mapesa" za kipindi kile cha Mzee Cheyo. Ataabika zaidi kwenye sanduku la kura. Tanzania 2020 siyo ya 1995. Watanzania kwa sasa wanatumia tafakuri tunduizi kufanya maamuzi kwa kiwango cha hali ya juu.
 
Mkuu inafahamika chanzo kikuu cha mapato ya serikali ni kodi, ushuru, tozo, gawio na treasury bills (hati fungani), misaada, ufadhili na mikopo etc.

Yeye kama rais anatakiwa kueleza ni sera zipi nzuri alizo nazo za ukusanyaji mapato na namna bora ya kuyatumia mapato hayo kunufaisha taifa na watanzania kitu ambacho amekifanya bila shaka.
 
Mgufulu
Magufuli amesema ataongeza ndege zingine 5. Ndio sera yake kubwa
 
Tunaka namna ya kufanya hayo yote, hatuki mbwembwe, eleza sera na namna utakavyoitekeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…