Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

Kampeni za CDM ,zifanyike familia kwa familia,ukoo kwa ukoo, ndugu kwa ndugu,nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa,Kijiji kwa Kijiji,kata kwa kata,wilaya kwa wilaya,mkoa kwa mkoa Hadi taifa Hadi CCM iwe KANU .
 
1. Unakumbuka Lile tangazo la juzi la wenye drones wakazisajili?, wale waliokuwa wakiulizwa mnazitumia kwa ajili gani walipokuwa wakijibu ni kwa ajili ya mikutano basi wananyimwa kibali!

2. Nasikia pia wamepigwa biti kuzoom wananchi, wameambiwa waonyeshe majukwaa tu

Kuna mitego wapinzani wamewekewa kila kona!
Dah kazi kweli kweli.
 
Mbona chato airport kajitungia yesu wa kangi,mbona ununuzi wa ndege kajitungia huyo yesu wa kangi lugola,ile hifadhi ni ilani ya ccm au unajisahaulisha mama wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote...
Mwaka 2015 mlicheza na kura Mara Lowasa Mara magufuli. Yaliyowakuta ndio haya mnalia pia kila siku kwa miaka mitano sasa.onyo Kali,iwapo hamtakuwa serious kuingoa CCM madarakani,mtambue kuwa CCM ikirudi madarakani watakuwa Kama NYATI aliye jeruhiwa hivyo 2020/25 utakula kwenu.mkiamua amueni kuitoa madarakani, na liwali naliwe.
 
Tulia kidogo,nijibu hiyo pesa ataipata wapi ambapo Magufuli kashindwa kuipata?

Pesa itatoka wapi? Mgoja nikueleze fedha Lissu ataipata wapi:

- Atatumia fedha za ndege nyingine 5 ambazo CCM ameahidi kununua. Kama itahitajika ndege itanunuliwa kwa mkopo na ATCL ndio itaulipa baada ya kufanya biashara.

- Atatumia pesa ambayo CCM inatoa kufadhili wasiojulikana.

- Atatumia fedha inayogawiwa barabarani kama njugu.

- Atatumia pesa inayotumika kuendesha kesi za kutunga na kubambika watu
 
Nategemea ameweka wazi mikakati madhubuti itakayomuwezesha kukusanya mapato yatakayomuwezesha kulipa mafao, mishahara minono kwa watumishi na shughuli za maendeleo.
Ilani ya chadema ya mwaka huu inafungamanisha sekta ya umma na sekta binafsi. Yaani ukishapunguza kodi ya VAT kutoka 18% mpaka 10% maana yake umewatengenezea mazingira mazuri wafanyabiashara, hii ni plan ya LISSU atakapochaguliwa.

Maana wafanyabiashara wengi hukwepa kodi inapokuwa kubwa. Na sehemu ambayo serikali inakusanya mapato yake ni kwenye kodi ya biashara ya kuuza bidhaa ama kutoa huduma.

Kongole Lissu. Hapa umetuweza.
 
Kusema ni rahisi.
===

Ningependa kujua mikakati atakayotumia kufanikasha ahadi hizi! Huku serikali yake ya kufikirika ikiweza kutimiza majukumu yake! Kama kuna mahali amefafanua haya naomba link ya chanzo cha habari hiyo.

Karibu.
Fuatilia mikutano yake. Acha uvivu. Mmekuwa wavivu sana hasa ccm.
 
Yote aliyoongea hakuna hata moja lililoko ndani ya sera na ilani ya Chadema huyu Lisu hajui hata kuwa mgombea Uraisi maana yake nini

Waandishi wa habari ombeni sera na ilani ya Chadema mlinganishe na anavyoongea Lisu . Lisu anaongea vitu anavyoota hewani kinachomjia hewani ndicho anasema nitafanya!!! Very sad...
Tulia dawa iingie. Iguse mfupa kabisa.

Hahaha....Eti ndege 5. Tutakula ndege sisi.
 
2015 Magufuli hakuwa anafafanua chochote zaidi ya kupiga pushup na kusema, serikali ya Magufuli itakuwa ya hapa kazi tu. Kisha akawa anakazia akiwa rais kuna watu watalimia meno. Lisu weka mashambulizi hapo ccm wanaanza kupaki basi. Ufafanuzi utauona akiwa ikulu fullstop.
UKWELI MNAUJUA TANGU AONDOKE DR SLAA CHADEMA MMEKUWA NI CHAMA CHA WAPIGAJI KUSHINDA UCHAGUZI NI NDOTO TUSHAJUA PLANI YENU NI RUZUKU BASI
 
Je, jiwe ametaja strategies zake au nayeye anaishia kusema amalize kazi..Yaani tuendelele na maisha ya maumivu anaother 5 yrs bila ajira
Yes Hakuna Nchi Duniani iliyooendelea Bila Maumivu sio lazim nyinyi mfaidi matunda ya Maendeleo kwa Sasa hat watoto wanaweza yafaidi mkiwa mshakufa
 
UKWELI MNAUJUA TANGU AONDOKE DR SLAA CHADEMA MMEKUWA NI CHAMA CHA WAPIGAJI KUSHINDA UCHAGUZI NI NDOTO TUSHAJUA PLANI YENU NI RUZUKU BASI

Ninapoona mtu anaandika kwa herufi kubwa, bila kuweka koma ama nukta, mara moja huwa najua najadili na kilaza.
 
Kaanza kutangaza sera, sasa utasikia wanakuja na hoja nyingine nyepesi kama hizo fedha atatoa wapi, n.k .Subirini kuwasikia MATAGA.
Nikweli huwa hawakumbuki kwamba kila mtanzania analipa kodi 'ndirect tax', wanaolipa 'direct tax' hawajafika hata milioni 3
 
Yes Hakuna Nchi Duniani iliyooendelea Bila Maumivu sio lazim nyinyi mfaidi matunda ya Maendeleo kwa Sasa hat watoto wanaweza yafaidi mkiwa mshakufa

Tulipata maumivu wakati wa wakoloni, Nyerere nk, ni maendeleo gani tumeyapata, mbona bado sisi ni masikini sana?
 
Back
Top Bottom