BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Twenty kwa mwaka mnauhesabu nao kama wizi? Kweli hii nchi ufukara umeota mizizi akilini mwa watu- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
====
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twenty kwa mwaka mnauhesabu nao kama wizi? Kweli hii nchi ufukara umeota mizizi akilini mwa watu- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
====
Sawa [emoji110]Ohooo!!!! Hahahaha, hapo kweli kazi IPO mzee baba, ila kama una uwezo wa kuwashawishi hata watu wawili si mbaya mkuu.
Dah kazi kweli kweli.1. Unakumbuka Lile tangazo la juzi la wenye drones wakazisajili?, wale waliokuwa wakiulizwa mnazitumia kwa ajili gani walipokuwa wakijibu ni kwa ajili ya mikutano basi wananyimwa kibali!
2. Nasikia pia wamepigwa biti kuzoom wananchi, wameambiwa waonyeshe majukwaa tu
Kuna mitego wapinzani wamewekewa kila kona!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapenda kuchekacheka sana,nitakutafuta nikukule utumbo mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona chato airport kajitungia yesu wa kangi,mbona ununuzi wa ndege kajitungia huyo yesu wa kangi lugola,ile hifadhi ni ilani ya ccm au unajisahaulisha mama wewe
Mwaka 2015 mlicheza na kura Mara Lowasa Mara magufuli. Yaliyowakuta ndio haya mnalia pia kila siku kwa miaka mitano sasa.onyo Kali,iwapo hamtakuwa serious kuingoa CCM madarakani,mtambue kuwa CCM ikirudi madarakani watakuwa Kama NYATI aliye jeruhiwa hivyo 2020/25 utakula kwenu.mkiamua amueni kuitoa madarakani, na liwali naliwe.Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote...
Usikute na ww una PhD na mwandiko wako Kama kenge anatafuta sehemu ya kutagiaKapangili nini zaidi ya Kutaja bila kufafanua ni jinsi gani Atawakwamua Watanzania anahisi wako kwenye dimbi la umaskini
Tulia kidogo,nijibu hiyo pesa ataipata wapi ambapo Magufuli kashindwa kuipata?
Ilani ya chadema ya mwaka huu inafungamanisha sekta ya umma na sekta binafsi. Yaani ukishapunguza kodi ya VAT kutoka 18% mpaka 10% maana yake umewatengenezea mazingira mazuri wafanyabiashara, hii ni plan ya LISSU atakapochaguliwa.Nategemea ameweka wazi mikakati madhubuti itakayomuwezesha kukusanya mapato yatakayomuwezesha kulipa mafao, mishahara minono kwa watumishi na shughuli za maendeleo.
Fuatilia mikutano yake. Acha uvivu. Mmekuwa wavivu sana hasa ccm.Kusema ni rahisi.
===
Ningependa kujua mikakati atakayotumia kufanikasha ahadi hizi! Huku serikali yake ya kufikirika ikiweza kutimiza majukumu yake! Kama kuna mahali amefafanua haya naomba link ya chanzo cha habari hiyo.
Karibu.
Tulia dawa iingie. Iguse mfupa kabisa.Yote aliyoongea hakuna hata moja lililoko ndani ya sera na ilani ya Chadema huyu Lisu hajui hata kuwa mgombea Uraisi maana yake nini
Waandishi wa habari ombeni sera na ilani ya Chadema mlinganishe na anavyoongea Lisu . Lisu anaongea vitu anavyoota hewani kinachomjia hewani ndicho anasema nitafanya!!! Very sad...
UKWELI MNAUJUA TANGU AONDOKE DR SLAA CHADEMA MMEKUWA NI CHAMA CHA WAPIGAJI KUSHINDA UCHAGUZI NI NDOTO TUSHAJUA PLANI YENU NI RUZUKU BASI2015 Magufuli hakuwa anafafanua chochote zaidi ya kupiga pushup na kusema, serikali ya Magufuli itakuwa ya hapa kazi tu. Kisha akawa anakazia akiwa rais kuna watu watalimia meno. Lisu weka mashambulizi hapo ccm wanaanza kupaki basi. Ufafanuzi utauona akiwa ikulu fullstop.
Yes Hakuna Nchi Duniani iliyooendelea Bila Maumivu sio lazim nyinyi mfaidi matunda ya Maendeleo kwa Sasa hat watoto wanaweza yafaidi mkiwa mshakufaJe, jiwe ametaja strategies zake au nayeye anaishia kusema amalize kazi..Yaani tuendelele na maisha ya maumivu anaother 5 yrs bila ajira
UKWELI MNAUJUA TANGU AONDOKE DR SLAA CHADEMA MMEKUWA NI CHAMA CHA WAPIGAJI KUSHINDA UCHAGUZI NI NDOTO TUSHAJUA PLANI YENU NI RUZUKU BASI
Nikweli huwa hawakumbuki kwamba kila mtanzania analipa kodi 'ndirect tax', wanaolipa 'direct tax' hawajafika hata milioni 3Kaanza kutangaza sera, sasa utasikia wanakuja na hoja nyingine nyepesi kama hizo fedha atatoa wapi, n.k .Subirini kuwasikia MATAGA.
Yes Hakuna Nchi Duniani iliyooendelea Bila Maumivu sio lazim nyinyi mfaidi matunda ya Maendeleo kwa Sasa hat watoto wanaweza yafaidi mkiwa mshakufa