Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Babu ushindi unatafutwa kwa mbinu na sio Mazoea Tu endeleeni kusema Wasaniiii Diamond ana followers zaid 20m nchi nzima kuna watu watampigia KURA kisa Diamond ni CCM
Sawa sawa jipe moyo
Eg1VzJMXkAUKY9F.jpeg
 
Lissu!

Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?

Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???

Kwani hizo habari za kupigwa risasi zinawahumiza sana ninyi kijani? Waambie wagombea wako wafanye hayo unayofikiria.
 
Lissu!

Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?

Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Una uelewa mdogo sana.mpaka sasaivi hujui kama kuna ilani ya UCHAGUZI ya CHADEMA na yote hayo yamezungumzwa humo vizuri tu.unakuja kupiga porojo za kijinga humu.too low
 
Nisamehe! Tatizo munaweka wagombea wenye IQ ndogo!
Nisamehe tena; Miaka ile ya akina Lissu kusoma sekondari, aliyesoma HGL, HKL, na the likes walikuwa ni watu walioshindwa kuielewa sayansi. Hawakuwa na kisingizio cha kukosa waalimu wazuri kama ilivyo sasa hivi. Hivyo, nikimuona eti ni mwanasheria, aliyesoma masomo ya aina hiyo, najua brain power yake ndogo!! Hawezi fikiria mambo makubwa na ndo maana kila siku utasikia risasi 16! Wauaji anawajua Magufuli! Matibabu yangu... bhla! Bhla!

Bahati mbaya, Jopo lote la uongozi wa juu la CHADEMA lina watu wa aina hii. Ni wale ambao hata ukiwauliza mbolea ni nini, hawana majibu vichwani. Ukiwauliza mbinu gani tuitumie kuondokana na ukame watasema tumeeleza kwenye ilani ya chama, maana hawakumbuki waliandikiwa nini. Watu wa aina hii ndo akina Mkumbo ambaye pia alikuwa huko huko kabla ya kuhama. Midomo na maneno meeengi kama insha za daarasa la 6.
 
CCM Mungu anawaona, yaani mnawachezesha mziki kutwa vijana wa watu....yaani badala ya kupata majibu ya kero zao na way forward ya next 5 years nyie mnawachezesha Singeli kweli?
 
Lissu yuko vizuri sana, ndo maana mpaka jpm anatamani kumpa kazi.Lissu ni mzalendo namba moja.Hongereni singida mashariki
 
Nisamehe! Tatizo munaweka wagombea wenye IQ ndogo!
Nisamehe tena; Miaka ile ya akina Lissu kusoma sekondari, aliyesoma HGL, HKL, na the likes walikuwa ni watu walioshindwa kuielewa sayansi. Hawakuwa na kisingizio cha kukosa waalimu wazuri kama ilivyo sasa hivi. Hivyo, nikimuona eti ni mwanasheria, aliyesoma masomo ya aina hiyo, najua brain power yake ndogo!! Hawezi fikiria mambo makubwa na ndo maana kila siku utasikia risasi 16! Wauaji anawajua Magufuli! Matibabu yangu... bhla! Bhla!

Bahati mbaya, Jopo lote la uongozi wa juu la CHADEMA lina watu wa aina hii. Ni wale ambao hata ukiwauliza mbolea ni nini, hawana majibu vichwani. Ukiwauliza mbinu gani tuitumie kuondokana na ukame watasema tumeeleza kwenye ilani ya chama, maana hawakumbuki waliandikiwa nini. Watu wa aina hii ndo akina Mkumbo ambaye pia alikuwa huko huko kabla ya kuhama. Midomo na maneno meeengi kama insha za daarasa la 6.
Mkuu unadanganya kana kwamba sekondari ulisoma peke yako duh..huwezi fananisha uwezo was lissu na magu kamwe. Lissu yuko vizuri sana
 
Lissu!

Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?

Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Kweli ww ni zygot... hujakua.... huelewi... wewe ni mbwimbwisa.... empty head... bure kabisa kwa kuwa umeamua kujitoa ufahamu..... ukitaka yote hayo endelea kumfuatilia kwenye mikutani yako then uje tena kujaza seva za max...
 
Ni nani sasa kama wewe unamjua?
Aliyemnyima hela ya matibabu humjui?
Aliyekataza hata kuombewa humjui?
Aliyekataza kampeni ya kumchangia damu humjui?
Ni John mwenye roho mbaya, mpenda sifa, mkanda na mkabila.
 
Lissu kawakoroga idara ya Propaganda ya CCM kiasi kwamba wanaweza kuruhusu Bange na Ngono za Bure kwenye mikutano yao

Kwa kweli mwisho wa CCM umeanza kuonekana kabisaaa!!

Huko visiwani ndio hawalali macho yamakuwa mekundu shati la kijani suruwali nyeusi wamegeuka Monsters

Hahahah jukwaa hili siku hizi linatia raha sana hahaha! Kwamba juu shati la kijani chini suruali nyeusi! 😂😂😂
 
Katika elimi kasema haya

Elimu bure kwa ngazi zote

Nyoneza ya mishara na kupanda madaraja kwa mujibu wa sheria kwa kila mwalimu.

Pia kutoa fidia ya zulma waliyofanyiwa walimu kwa miaka mitano na kuwapa stahiki walimu waliofukuzwa vyeti feki
 
Mkuu unadanganya kana kwamba sekondari ulisoma peke yako duh..huwezi fananisha uwezo was lissu na magu kamwe. Lissu yuko vizuri sana
Nilisema samahani kwa kuamini mtu kama wewe hamtanielewa. Huwezi ongoza serikali kwa bhla! Bhla za sheria na historia. never!
 
Back
Top Bottom