Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Sawa sawa jipe moyoBabu ushindi unatafutwa kwa mbinu na sio Mazoea Tu endeleeni kusema Wasaniiii Diamond ana followers zaid 20m nchi nzima kuna watu watampigia KURA kisa Diamond ni CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa jipe moyoBabu ushindi unatafutwa kwa mbinu na sio Mazoea Tu endeleeni kusema Wasaniiii Diamond ana followers zaid 20m nchi nzima kuna watu watampigia KURA kisa Diamond ni CCM
Lissu!
Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?
Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Ulitaka ahadi za ndege, laptops and flyovers ....!!?Ahadi kama hizo zinatofauti gani na ubwabwa wa Hashim Rungwe? au ile ahadi ya kuleta maji ya bahari Dodoma? Just alike rubbish.
Atapandisha mishahara mara mbili. Hapo kisha pata kura laki 3 tu! What next?Ulitaka ahadi za ndege, laptops and flyovers ....!!?
Una uelewa mdogo sana.mpaka sasaivi hujui kama kuna ilani ya UCHAGUZI ya CHADEMA na yote hayo yamezungumzwa humo vizuri tu.unakuja kupiga porojo za kijinga humu.too lowLissu!
Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?
Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Kikwete alikuwa rais wa mambo ya njeMagufuli mzee wa miundombinu
Lissu mzee wa hadithi za vifo
Rungwe mzee wa ubwabwa
Nisamehe! Tatizo munaweka wagombea wenye IQ ndogo!Una uelewa mdogo sana.mpaka sasaivi hujui kama kuna ilani ya UCHAGUZI ya CHADEMA na yote hayo yamezungumzwa humo vizuri tu.unakuja kupiga porojo za kijinga humu.too low
Mkuu unadanganya kana kwamba sekondari ulisoma peke yako duh..huwezi fananisha uwezo was lissu na magu kamwe. Lissu yuko vizuri sanaNisamehe! Tatizo munaweka wagombea wenye IQ ndogo!
Nisamehe tena; Miaka ile ya akina Lissu kusoma sekondari, aliyesoma HGL, HKL, na the likes walikuwa ni watu walioshindwa kuielewa sayansi. Hawakuwa na kisingizio cha kukosa waalimu wazuri kama ilivyo sasa hivi. Hivyo, nikimuona eti ni mwanasheria, aliyesoma masomo ya aina hiyo, najua brain power yake ndogo!! Hawezi fikiria mambo makubwa na ndo maana kila siku utasikia risasi 16! Wauaji anawajua Magufuli! Matibabu yangu... bhla! Bhla!
Bahati mbaya, Jopo lote la uongozi wa juu la CHADEMA lina watu wa aina hii. Ni wale ambao hata ukiwauliza mbolea ni nini, hawana majibu vichwani. Ukiwauliza mbinu gani tuitumie kuondokana na ukame watasema tumeeleza kwenye ilani ya chama, maana hawakumbuki waliandikiwa nini. Watu wa aina hii ndo akina Mkumbo ambaye pia alikuwa huko huko kabla ya kuhama. Midomo na maneno meeengi kama insha za daarasa la 6.
Kweli ww ni zygot... hujakua.... huelewi... wewe ni mbwimbwisa.... empty head... bure kabisa kwa kuwa umeamua kujitoa ufahamu..... ukitaka yote hayo endelea kumfuatilia kwenye mikutani yako then uje tena kujaza seva za max...Lissu!
Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?
Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Ni nani sasa kama wewe unamjua?Huyo aliyempiga risasi yeye kafanya nini katika hayo?
Aliyemnyima hela ya matibabu humjui?Ni nani sasa kama wewe unamjua?
Lissu kawakoroga idara ya Propaganda ya CCM kiasi kwamba wanaweza kuruhusu Bange na Ngono za Bure kwenye mikutano yao
Kwa kweli mwisho wa CCM umeanza kuonekana kabisaaa!!
Huko visiwani ndio hawalali macho yamakuwa mekundu shati la kijani suruwali nyeusi wamegeuka Monsters
Halafu macho mekundu kwa ukosefu wa usingizi haaaa!!!Hahahah jukwaa hili siku hizi linatia raha sana hahaha! Kwamba juu shati la kijani chini suruali nyeusi! 😂😂😂
Hayo ndiyo anatakiwa aseme jamani hivi kampeni yote iatkuwa kusimulia alvyopigwa tu?
Nilisema samahani kwa kuamini mtu kama wewe hamtanielewa. Huwezi ongoza serikali kwa bhla! Bhla za sheria na historia. never!Mkuu unadanganya kana kwamba sekondari ulisoma peke yako duh..huwezi fananisha uwezo was lissu na magu kamwe. Lissu yuko vizuri sana