Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Mwaka kila kada wa chama anaongea kuhusu lisu iwe vijiweni, Barabarani , Ofisini mpaka mtandaoni, Ukichunguza vizuri unagundua kizuri ndicho kinauliziwa, Kibaya chajitembeza.
Mtu akijamba kikao cha harusi kila mtu akibana pua na kuongelea huo ushuzi na mjambaaji ni kizuri kijambaji ndio kinauliziwa? Na ni chema chajiuza?
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lissu kuelezea sera za CHADEMA ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za CHADEMA
Yani MaCCM nikama wana wagombea wawili wa uraisi kwenye chama chao

Kuna mmoja ana sema maendeleo hayana chama kuwa yeye ni raisi wa woote! na kuna mwingine anasema mkichagua upinzani sahauni, maendeleo hatuleti kama vile MaCCM pekee yao ndio yana lipa kodi.
 
Hahaha ccm mijinga sana, tangu uhuru yanatudanganya ,sera ,sera kila kukicha , sera ndio mdudu gani?!

Huko ccm mnakula sera?!

Walidhani Lissu ni Lowassa, sasa anawakalisha chini. Kila kikicha nyuzi za Lissu, huko ccm hamna mgombea?!
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lissu kuelezea sera za CHADEMA ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za CHADEMA
Ingawa Mimi Ni Yanga mwenzio ila kwa leo nasema wewe Ni zero kama Siro
 
Kwanini hasingekatwa yule ambaye kwa sasa hatujui kama ni mwanaume au mwanamke maana nasikia zile risasi zimeharibu mpaka mambo yetu yale.,nasikia yeye kwa sasa ni kama she tu.
Weka ubinadamu mkuu, siasa isifanye tuwe na chuki hivyo dhidi ya binaadmu mwenzako
 
Kwa kifupi sana.

Je, Tundu Lisu ana ujasiri na uthubutu wa kuondoa mrundikano wa marupurupu na posho za kukaa bungeni kwa waheshimiwa wabunge?

Eneo hili ndio limefanya kila mtanzania kuanzia wataalamu wabobezi hadi viongozi wa dini kukimbilia bungeni.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashe hiyo tunaondoa Mara moja
Mbunge wa jimbo atalipwa less than 4
 
Sidhani kama ataweza kufanya hvyo maana hapo anagusa masilahi ya wtu tena hapo atagombana hata na wabunge wake wa CHADEMA ,yangu macho
 
Back
Top Bottom