YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mtu akijamba kikao cha harusi kila mtu akibana pua na kuongelea huo ushuzi na mjambaaji ni kizuri kijambaji ndio kinauliziwa? Na ni chema chajiuza?Mwaka kila kada wa chama anaongea kuhusu lisu iwe vijiweni, Barabarani , Ofisini mpaka mtandaoni, Ukichunguza vizuri unagundua kizuri ndicho kinauliziwa, Kibaya chajitembeza.