DP WORLD WAPO NJIANI [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hameni tu nchi
 
Soma kichwa cha habari hapo juu.

La pili onyesha wapi ktk huo mkataba kuna kibaya kwa taifa hili.

Usinambie Habari za shiva hapa. Huyo ni mmoja ktk vibaraka tu.

hapa tunajadili hoja ya MAASKOFU kuingilia kazi ya serikali.

Uzi ungesema Pengo kasema "blah blah blah au Gwajima kasema "blah blah blah.." basi tungewajadili PENGO NA GWAJIMA na sio UKRISTO. lkn kwa sababu Waliotamka kwa pamoja kuingilia kazi ya serikali ni MAASKOFU. basi lazima UKRISTO uwemo manake MAASKOFU sio wawakilishi wa waimba mchiriku hapa TZ . unless muwabadilishe kesho wawe chama cha siasa.
 
BAKWATA watakuna vichwa kwa hisia za udini, wanaweza kuibuka na tamko lao kuwa wanaunga mkono mkataba. Tayari kulikuwa na dalili kuunga mkono hata kama mkataba hauko sawa. Itakuaje nao wakaibuka kinyume na maaskofu? Hapa ndipo ilipo busara na hekima
 
Wewe ni Mbumbumbu
 
Ujinga mtupu, yaan Hadi mahakama inashangaaa ,mahakama inakubali madhaifu makubwa ya Mkataba

Alafu lijinga limoja ma wahuni wenzio kisa ni wavaa visuruali vifupi, ndio uone Mkataba uko sawa ?.




Hata hukum ya Mahakama, sote tunajua ni Kwa sababu ya maelezo na kwakufanya Ivo ndo kabisaaaaa imezidisha motoo.
 
BAKWATA watakuna vichwa kwa hisia za udini, wanaweza kuibuka na tamko lao kuwa wanaunga mkono mkataba. Tayari kulikuwa na dalili kuunga mkono hata kama mkataba hauko sawa. Itakuaje nao wakaibuka kinyume na maaskofu? Hapa ndipo ilipo busara na hekima
Waislam Huwa wamejaza udiniiiii sana vichwan ila akili hamna !!!.
 
Roma locuta; causa finita est.
Mwanaume ROMA akizungumza; kesi imekwisha.
Sasa kwa sababu viongozi wa Kiafrika wakati mwingine ni wagumu kuelewa, ngoja waendelee kukaza shingo, cha moto watakiona wasije sema hawakuambiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…