Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Mie si mromani lakini nadhani huwajui waromani. Ni kanisa lililo na wataalamu wa kila namna. Wao mbali na kusomea teologia na falsafa za dini, pia usoma elimu dunia katika nyanja mbalimbali.
Kuna wachumi, wanasheria, wahasibu, wahandisi, madakitari, marubani, manesi na walimu pia.

Unavyo sema ukute hawajasoma usiwalinganishe na aina nyingine hawa jamaa uwa hawakurupuki. Na wana wataalamu wabobezi ktk intelijensia.
 
Umeshirikisha ubongo kweli?
 
Pasuka ufe!

Kwani wewe ni nani? Wewe siyo mwananchi? Kiongozi na wananchi, kisheria ni nani anapaswa asikilizwe?

Pumbavu kabisa wewe
 
Kwa maelezo haya unaonyesha wewe ni mkatoliki kindakindaki uliyenyweshwa maji ya bendera ya Vatican kwahiyo Acha kujificha kwenye Imani za watu wengine kuwa muwazi tu
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Hao wanasoma miaka mingi kuliko ma Professor usidhani ni mbumbumbu kama wewe....Hao ndiyo ambao elimu ilianza katika dini Yao. Kisha wanachukua cream Kila nchi...Usidhani wapo kama wewe. Kisha fahamu Wana kiti UN kinaitwa Holy Sea...Usicheze na mfumo, omba Mungu tuufute huo mfumo wao lakini usiwachezee...Hawa ni kitu kingine Hadi America yenyewe inawaogopa kama ukoma...

Ajabu ni kuwa hivi walidhani Dr. Alijiongelesha kama taahira fulani bila force nyuma yake?

Haya sasa wame ji reveal njooni sasa maana wapo tayari muone moto wake...

Mimi si pendagi udini ndiyo sababu nilihama hiyo dini Yao...Maana hii mifumo ndiyo inayotudhalilisha binadamu huku duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…