Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Unda Tume yako basi ukusanye maoni kuhusu bandari ndo mje mseme maoni ya watu wengi hawataki mkataba.Tume ipi wewe? Unaongelea hizi tume za MFUKONI mwa Rais? Black man wake up.
Read between lines.Kwa nini? Waislamu ni watu poa sana,saizi mambo yanaenda Kila sekta subiria Sasa aje wa dini yenu hiyo utaona maisha yatakavyovurugika
Tena walikuwa Muislam mwenzao Nasir Karamagi lakini hakuna aliyepiga kelele! Lakini kwa vile WAO wanaona Mwarabu kumkubalia ndo uislam utapata maendeleo!TICTS alikuwepo pale bandari kwa miaka 22, yule alikuwa ni hawara au?. Acheni roho za kibaguzi za kishenzi hizi.
Mimi ni muumini wa KATIBA MPYA, siku serikali itakaporuhusu mchakato wake ndio utakua mwanzo wa serikali hiyo kuaminika. Serikali hizi zinazominya demokrasia haziaminiki popote, labda huko UVCCM na kwenye familia yako tuUnda Tume yako basi ukusanye maoni kuhusu bandari ndo mje mseme maoni ya watu wengi hawataki mkataba.
Hawa waliyosema wananchi wengi hawataki huo utafiti walifanya lini na wapi?
Hiyo Jamaa anashida sana! Yaani serkali hii ya Samia uwezo wake kujenda madarasa na vyoo basi na kingine kikubwa kuuza rasilimali!Read between lines.
Sina shida na Waislam. Usiniwekee maneno mdomoni maana ushafilisika sasa unalazimisha tujadili siasa kwa mrengo wa kiimani.
Chutama maana kuna upupu umeandika huko juu umeonesha ujuha
Sasa kama huiamini Serikali unataka tukusaidie nini?Mimi ni muumini wa KATIBA MPYA, siku serikali itakaporuhusu mchakato wake ndio utakua mwanzo wa serikali hiyo kuaminika. Serikali hizi zinazominya demokrasia haziaminiki popote, labda huko UVCCM na kwenye familia yako tu
Chawa wa Mama akili zao zipo kwenye tumboNakazia hapa!
Mtoa mada amekurupuka hajui wala hafatilii mambo.
Maaskofu TEC na KKKT walitoa nyaraka za kumpinga Magufuli hadharani sio mara moja wala mbili.
Niko hapa KUPONGEZA na kuunga mkono hoja ya baraza la maaskofu, na wewe endelea kuungana na msimamo wa CCM wenzakoSasa kama huiamini Serikali unataka tukusaidie nini?
Huyo msela ana tatizo fulani hivi. Tatizo ni kujiaminisha kuwa ana akili za uchumi kuliko Watanzania wote....Hiyo Jamaa anashida sana! Yaani serkali hii ya Samia uwezo wake kujenda madarasa na vyoo basi na kingine kikubwa kuuza rasilimali!
Akili za kibaguzi tu, unaweza usimwone mwarabu hata mmoja pale bandarini. Wanaajiri wataalam mbalimbali wa mataifa ya kigeni kwa ajili ya kuendesha biashara zao.Tena walikuwa Muislam mwenzao Nasir Karam agi lakini hakuna aliyepiga kelele! Lakini kwa vile WAO wanaona Mwarabu kumkubalia ndo uislam utapata maendeleo!
Acha uongo ndugu. Una heshima kubwa ndani ya jukwaa hili. Katika kipindi cha miaka 5 ya awamu ya JPM TEC walitoa WATÀKAO mara mbili 2017 na 2019 mara zote waliishambulia serikali ya Magufuli kuhusu demokrasia.
HESHIMA YAKO MKUU punguza hisia weka uhalisia wewe ni mchambuzi mzuri sana.
Wao chawa ni wapuuzi sana! Wanaropoka kila kitu bila kufanya utafiti! Jingine limeandika eti Mbowe alitolewa na mama gerezani baada ya kufungwa na Magufulli kwa ugaidi! Very stupid hawa jamaa! Leo aibu imewajaa uhaini chali tena!Chawa wa Mama akili zao zipo kwenye tumbo
Sawa endelea kuunga mkono hao wanaoleta upuuziNiko hapa KUPONGEZA na kuunga mkono hoja ya baraza la maaskofu, na wewe endelea kuungana na msimamo wa CCM wenzako
Nawewe endelea kufanya UCHAWA na kulamba matacle ya viongozi wako weziSawa endelea kuunga mkono hao wanaoleta upuuzi
Sina hizo tabia za kipuuzi. Mie nasimamia kweliNawewe endelea kufanya UCHAWA na kulamba matacle ya viongozi wako wezi
Aahaaaa,na aliwanyoosha