Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Tume ipi wewe? Unaongelea hizi tume za MFUKONI mwa Rais? Black man wake up.
Unda Tume yako basi ukusanye maoni kuhusu bandari ndo mje mseme maoni ya watu wengi hawataki mkataba.

Hawa waliyosema wananchi wengi hawataki huo utafiti walifanya lini na wapi?
 
Kwa nini? Waislamu ni watu poa sana,saizi mambo yanaenda Kila sekta subiria Sasa aje wa dini yenu hiyo utaona maisha yatakavyovurugika
Read between lines.

Sina shida na Waislam. Usiniwekee maneno mdomoni maana ushafilisika sasa unalazimisha tujadili siasa kwa mrengo wa kiimani.

Chutama maana kuna upupu umeandika huko juu umeonesha ujuha
 
Unda Tume yako basi ukusanye maoni kuhusu bandari ndo mje mseme maoni ya watu wengi hawataki mkataba.

Hawa waliyosema wananchi wengi hawataki huo utafiti walifanya lini na wapi?
Mimi ni muumini wa KATIBA MPYA, siku serikali itakaporuhusu mchakato wake ndio utakua mwanzo wa serikali hiyo kuaminika. Serikali hizi zinazominya demokrasia haziaminiki popote, labda huko UVCCM na kwenye familia yako tu
 
Read between lines.

Sina shida na Waislam. Usiniwekee maneno mdomoni maana ushafilisika sasa unalazimisha tujadili siasa kwa mrengo wa kiimani.

Chutama maana kuna upupu umeandika huko juu umeonesha ujuha
Hiyo Jamaa anashida sana! Yaani serkali hii ya Samia uwezo wake kujenda madarasa na vyoo basi na kingine kikubwa kuuza rasilimali!
 
Mimi ni muumini wa KATIBA MPYA, siku serikali itakaporuhusu mchakato wake ndio utakua mwanzo wa serikali hiyo kuaminika. Serikali hizi zinazominya demokrasia haziaminiki popote, labda huko UVCCM na kwenye familia yako tu
Sasa kama huiamini Serikali unataka tukusaidie nini?
 
Nakazia hapa!
Mtoa mada amekurupuka hajui wala hafatilii mambo.
Maaskofu TEC na KKKT walitoa nyaraka za kumpinga Magufuli hadharani sio mara moja wala mbili.
Chawa wa Mama akili zao zipo kwenye tumbo
 
Hiyo Jamaa anashida sana! Yaani serkali hii ya Samia uwezo wake kujenda madarasa na vyoo basi na kingine kikubwa kuuza rasilimali!
Huyo msela ana tatizo fulani hivi. Tatizo ni kujiaminisha kuwa ana akili za uchumi kuliko Watanzania wote....

You Know What I Mean😀😀🤣
 
Tena walikuwa Muislam mwenzao Nasir Karam agi lakini hakuna aliyepiga kelele! Lakini kwa vile WAO wanaona Mwarabu kumkubalia ndo uislam utapata maendeleo!
Akili za kibaguzi tu, unaweza usimwone mwarabu hata mmoja pale bandarini. Wanaajiri wataalam mbalimbali wa mataifa ya kigeni kwa ajili ya kuendesha biashara zao.
 
Acha uongo ndugu. Una heshima kubwa ndani ya jukwaa hili. Katika kipindi cha miaka 5 ya awamu ya JPM TEC walitoa WATÀKAO mara mbili 2017 na 2019 mara zote waliishambulia serikali ya Magufuli kuhusu demokrasia.
HESHIMA YAKO MKUU punguza hisia weka uhalisia wewe ni mchambuzi mzuri sana.
Wala mimi sihitaji heshima yako mkuu, na matamko yote ya kanisa niliyaona. Ila nakwambia ukweli ambao binafsi naufahamu na nimeusikia kutoka kwa baadhi ya viongozi wa dini wa hili kanisa. Ukweli mchungu ni kwamba Yohana aliwekwa kwa ushawishi wa kanisa. Wakati anaanza kuumiza watu wenyewe walikaa kimya na watu kama Kadinali Pengo walioneshwa kuvutiwa sana na aina ya uongozi wa Yohana. Alipoanza kuleta taharuki ndiyo wakaanza kusema.

Kuna mengine waislamu huwa wanakuwa na mihemko, ila kuna baadhi ya malalamiko yao huwa na ukweli mkubwa tu. Tatizo ni kwamba ukishakuwa muumini huwezi kuona, ila sisi ambao hatuna dini huwa tunaona vizuri kabisa kwamba hapa pana shida. Wewe kama unahisi mambo yako sawa hewalaa. Ila binafsi nasema ambacho kipo hata kama hupendi kukisikia.

Chawa wa Mama akili zao zipo kwenye tumbo
Wao chawa ni wapuuzi sana! Wanaropoka kila kitu bila kufanya utafiti! Jingine limeandika eti Mbowe alitolewa na mama gerezani baada ya kufungwa na Magufulli kwa ugaidi! Very stupid hawa jamaa! Leo aibu imewajaa uhaini chali tena!
 
Wewe ni mpumbavu wa mwisho km wewe huna uwezo wa kuendesha familia yako usidhani hakuna mwenye uwezo wa kuendesha

Km rais hana uwezo wa kuendesha nchi akae pembeni wenye uwezo wapo wengi tu
 
Wakatoliki waishi milele na dini zingine ziige kwao.Hata kama kitu unakiona kina faida sana ukiona wananchi wetu wahakitaki achana nacho. Wananchi ndio wenye nchi usishupaze shingo utavunjika. MIMI napenda sana Dr. Rais Samia 2025 ashinde za 80% ila mkataba ya bandari sipendi sio faida, mkataba ya bandari mbaya sana hausemi faida
 
Aahaaaa,na aliwanyoosha
Marehemu alikuwa safi sana, alinyoosha kila mtu aliyetaka kuingilia himaya yake. Tanzania ilihitaji kiongozi wa namna ile walau kwa miaka walau 30 hivi. Tatizo lake kubwa alikuwa mtu mwenye kuendeshwa sana na hisia, asiyependa kuona wenzake wanafanikiwa, na alikuwa haambiliki ilhali alikuwa na uelewa mdogo kwenye baadhi ya mambo. Huku kwingine alikuwa ni Bonge la mtu.
 
Ivi ndege ya Raisi yaweza kamatwa na kuzuiwa kuruka angani katika Hali gani?
 
Back
Top Bottom