Vp mashekhe zetu nao wanasemaje uko tunasubilia no tamko lao na Roma tumeskia
 
Kwani Dp world alishindanishwa na nani yeye ndio akaonekana anafaa kupewa Bandari zetu zote za Tanganyika ?

Kwani huyu Dp world atawekeza pesa ngapi ?, JMT itapata nini mgao kiasi gani ?

Kwanini mkataba hauoneshi ukomoo wa muda ?,,

Kwanini JMT iingie makubaliano na sehemu ya inchi na si inchi, Dubai si inchi ni kama jimbo tu ndani ya inchi ya United Arabs Emirates , . Je Leo hii ufaransa ikiingia makubaliano na mkoa wa Geita pasipo serekali kuu Chamwino kushirikishwa ,itakuwa sawa ?.

Kwanini Mwanasheria mkuu wa serekali hasemi chochote kuhusu huu mkataba , ni bubu kwani ,hajui kuongea au analinda ugali wa watoto

Kwanini chief mkuu anatoa tu mipasho , hanyooki moja kwa moja ,

Je kwanini huu mkataba unatetewa tu na chama pendwa na chawa wake tu ,kwanini wasomi na vyama pinzani haviutaki , ?

Kwanini bandari za Zanzibar hazipo kwenye huu mkata , huenda kuna umuhimu mkubwa wa kuwa
1. Serekali ya JMT
2.Serekali ya Tanganyika
3. Serekali ya Zanzibar au (ikiwezekana Unguja na Pemba iwe na hadhi ya mkoa tu kama ilivo kigoma au Mbeya )
 
Hao sio size yako mkuu, wamesikilizwa, Pole sana
Wamesikilizwa na nani?
Serikali ya Tanzania ifanye maamuzi kwa kusikiliza KANISA? Kesho mkipitisha sheria za wanamme kuoana km huko Vatican watanzania tuwasilize tu au !
We si unafahamu kuwa PAPA wa VATICAN karuhusu Ndoa za Jinsia moja?
Sasa leo serikali yetu ikianza kusikiliza Kanisa kweli tutakuwa salama hapa Nchini?
 

acha kuandika utumbo na story za kwenye vikao vya Chibuku.
Sudan wanapigana waafrika
Hao waarabu wametokea nchi gani ya kiarabu kwenda kuua waafrika?
Kuna mwarabu gani Ana njaa ya kwenda kuua waafrika Sudani.
Tunajua domo mali yako na JF hakuna kiingilio lkn nina imani una mzazi. Sasa kuwa na adabu kusema uongo mbele ya watu wazima.
Tutakupiga laana sasa hivi we mtoto.
 
Roma mythology ndiyo inayovunja democracy hapa Tanzania,ndiyo inayotupa marais wa kiroma kila wakati na ambaye siyo mroma anaonekana hafai,
We need to change this attitudes! Quickly as soon as possible!
Ndio wanauza bandari na kumbambika watu uhaini?
 
wewe mwenyewe na ufia dini wako wote umekimbilia kwenda kuishi ughaibuni kwenye taifa linaloruhusu haki za mashog. unadhani hatukujui ndg kahtaan?.
 
Duh ndio mmfika huku mkuu. Kisa tu waarabu. Mmwage Damu kwa ajili ya Dini😳😳😳😳
Kwani wao waliposema inchi haitatawalika walikua na maana gani? Uliwahoji?
Unajua wakristo hawAapendi muislam aongoze so wanaanzisha chokocho then wanakimbia sasa kwa hili ndio na sie tumepata sababu
 
Kwan nyie akina salama leku mnateseka sana niwambie kitu hii nchi ni ya kikristo na maasikofu ndo wenye sauti ya mwisho kama hamtaki fanyeni mnavojua halafu kama mama hataondoka akiendesha gari bila hata msaidizi
Ukristo upi sasa.
Wa kusali jumamosi kwa style ya kulia na kuimba?
Au kusali jumapili kwa kelele na nyimbo za bongo flavours?
Au kukataza wanamme kuoa manake ni watakatifu km Maaskofu na mapadri wa Kikatoliki?

Au kuruhusu wanamme kuoa kama wasabato na kina Gwajima.?
Au Ule Ukristo wa Vatican wa kuruhusu Ndoa za jinsia moja. ?
Au ule wa kuafungia kina Sister ndani kisha kuwakatalia kuolewa kisha wakipata mimba kwa jina la bwana warudishwe makwao manake pepo la ngono limewaangukia?

UKRISTO upi Unaosema hapa Tanzania iufuate manake Menu ya UKRISTO INA VITU VINGI MNO.

Tuchagulie UKRISTO MMOJA tuufuate Mkuu.
 
wewe mwenyewe na ufia dini wako wote umekimbilia kwenda kuishi ughaibuni kwenye taifa linaloruhusu haki za mashog. unadhani hatukujui ndg kahtaan?.
Kwani tatizo kuishi nchi zinazo ruhusu ushoga?
Tatizo ni mimi kukubaliana na sera hizo.
Na niko hapa kwa kazi ya kuelemisha ummah kuwa Ushoga ni dhambi.
Na Wengi wanaelewa na kuingia ktk Dini ya Kweli ya Kiislamu. Au we huoni kwenye mitandao namna wazungu wanavyo silimu?

Tanzania Imani pekee inayo ruhusu ndoa hizo ni UKRISTO.
Papa mwenyewe kwa kauli yake amekubali USHOGA.
Huyo Pengo atapingana na PAPA?

Sasa usipate tabu kijana.
Tuko huku kujaribu kusafisha huu uchafu wa sodomi.
 
Jinyonge mkuu. Wamekosoa mkataba hawajokosoa uislamu.
 
Mwanzoni watu walikua wanapinga uwekezaji kwa kivuli cha mkataba ila sasa dhamira kuu inaonekana wazi ukweli usemwe tu kinachopingwa kiuhalisia ni uwekezaji na si mkataba na TEC wamethibitisha hilo leo.
Unajilisha fikra zako hasi halafu unajifariji. Taabu kwelikweli.
 
Tamka la TEK limeiokoa mahakama kutoka kwenye kifungo cha ccm
 
Vp mashekhe zetu nao wanasemaje uko tunasubilia no tamko lao na Roma tumeskia
Masheikh hawana kiherehere cha kuingilia kazi za serikali.
Hawana faida yyt na Bandari km walivyo nayo Maaskofu

Wanaingiza mamia ya containers kila mwezi kwa jina la kanisa.
Sasa wanaona akiwepo Mwarabu mwenye msimamo pale Bandarini Hawawezi kuiba tena au kupitisha container za Gongo kutoka ulaya wakidai Ni Damu ya Yesu. Au Silaha kutoka Vatican wakidai ni Nyama ya Yesu.
Hilo mwarabu hawezi kukubali. Wataumbuka.

Sasa wanapambana kufa kupona Mwarabu mwenye pesa nyingi asiehongeka au kununuliwa na kanisa asishike hio Bandari.

Issue sio Mkataba kabisa.

Issue ni wapi itapitia Damu ya bwana (Gongo) bila ushuru?
Wapi mashangingi ya mapadri yatapita bila Ushuru?
Wapi zitapita Container za silaha na mali za Haramu Bila kuonekana ?
 
Mataifa yote yalioangamia yalianza kupuuza kauli km hizi.
Hawa MAASKOFU wameshiba mali za haramu walizochuma miaka mingi sana sasa wananza kujamba hadharani wakidhani Sababu RAIS ni Muislamu watanyamaziwa manake wakiguswa watasema wanaonewa na Muislamu.

Hawa wanatakiwa kupigwa marufuku kabisa kuingilia kazi za serikali.

VATICAN imeruhusu NDOA ZA JINSIA MOJA. hakuna Askofu hata mmoja aliyejitokeza akapinga kauli za VATICAN.

Leo wanataka kutuchafulia nchi.
Wacha wawashe huo moto wao ndio watakuwa wa kwanza kupandisha magauni juu na kutoka mbio.
waislamu tumepigwa vita sana na mataifa mengi mno ya kikafiri but we still going strong daily.
 
Hawa jamaa wametudhulumu miaka mingi sana, sasa wakati wao umefika, asante sana Mungu kwa kuwafichua wanafiki na kutupa nafasi hii tukufu, tuitumie, harakati ziendelee sasa kimya kimya huku tukiwachunga mapandikizi, tunajua kabisa tunao huku wanaojifanya wenzetu kumbe maadui, yani wakae wakijua safari hii tumjipanga
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Punguza hasira
Kuna PHD Masters za Ukweli sio kama hizi za kununua mtandaoni
Wanajielewa wametoa Tamko kama Kanisa na WaTanzania shida ipo wapi?
 
"Viongozi wa dini wakati wote tumekuwa na nia njema, inajitokeza tunaposifu (serikali) hapo tunakuwa wazuri lakini tunapokosoa tunaonekana watu wenye shida".- Padre Raymond Saba, 4/06/2018
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…