FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mara ya mwisho umetia saini negotiations ni lini? Yaani mnakubaliana na kutia saini kabla hamjamaliza majadiliano na kuafikianaNdio maana bado inaitwa Negotiations.
Bado watu wanajadili na hakuna kilicho sainiwa mara ghafla MAPADRI wanakusanyana pamoja na kutoa hitimisho kuwa MKATABA HAUFAI.
Mkataba upi ULIO SAINIWA ambao umesha pitishwa na serikali USIOFAA?
Toka uhuru wamekamatwa wezi wangapi? Nini kimeshindikana kuzuia huo wizi?This is all myths and lies.
Wala sina haja ya kuzichambua hata kidogo hizo hoja zako manake ni UONGO MTUPU uliowekwa na wapigaji wa hapa nchini wanaotaka kuendelea kuiba .
Wewe naamini una akili timamu na wala haijitaji kusoma sana kufahamu kuwa hakuna binaadamu mwenye akili timamu akaweka masharti ya namna hio . Akitegemea upande wa pili utakubali.
Hata mtoto mdogo anajua hilo.
Hio kampuni sio kampuni ya ujanja ujanja kama hizo za wachina.
Wachilia mbali kampuni ya uwekezaji We kwa akili yako kuna nchi yyt duniani inaweza kuweka Masharti ya namna hio kisha itegemee kuna kukubaliwa na nchi nyingine yyt duniani ?
Huo ni UONGO na UZUSHI na Hata mwendawazimu anajua kuwa Huo ni UZUSHI.
Kama huja bahatika kuona copy ya makubaliano Msikilize yule Mdosi alichokuwa anaongea na pia kaongeza chumvi nyingi sana lkn hajakufikia wewe.
Hakutaja hata moja ktk hizo point uliotaja hapo kwa namna ulioandika.
Yes kuna masharti magumu wameweka kulinda pesa wanazowekeza.
Usidhani kuna kampuni itawekeza millions of dollars kisha iweke masharti mepesi HASA KWA WAAFRIKA.
Sisi tuna kigeugeu sana na ndio maana nchi zetu tunabaki kusifia zina mali nyingi lkn tutaendelea kufa njaa mpk siku Yesu atakaporudi.
Mimi niwekeze pesa nyingi namna hio kisha mnambie mkataba huu uishe baada ya miaka 10 au 20 kisha mnifukuze? Hizo pesa lini ntazirudisha na faida lini ntapata?
Lzm ntaweka masharti ambayo yatanihakikishia usalama wa pesa ntakazo wekeza . Na hio ni jambo la kawaida kwa muwekezaji wa aina yyt.
Lkn Hicho ulichoandika hapo ni upotoshaji mtupu na ummah wenye weledi wanafahamu.
Sasa endeleeni kupotosha watu lkn Hakuna anaefaidika hapa zaidi ya hayo hayo majizi ya siku zote yanaojiita VIONGOZI WA KUPELEKA WATU MBINGUNI.
Wakati na elimu unabadili jamii sengobadToka uhuru wamekamatwa wezi wangapi? Nini kimeshindikana kuzuia huo wizi?
Hakuna signature yyt imewekwa mpk leo hii.Mara ya mwisho umetia saini negotiations ni lini? Yaani mnakubaliana na kutia saini kabla hamjamaliza majadiliano na kuafikiana
Hukumu kwani kuna kesi hapa?Utakuwa umezaliwa jana wewe, hukumu ilisemaje??
shida hamsomi, wamesema walisema kuhusu miaka ya 90 ubinafishaji huo ulipofanyika na hawakusikilizwa matokeo yake leo tunapigwa mahakamani za kimataifa za biashara.Wagalatia bana mikataba ya Madini miaka 100 wanachimba wenyeji wanazdi kuwa masikini hawa Maskofu walikuwa wapi?
Ndio maana bado inaitwa Negotiations.
Bado watu wanajadili na hakuna kilicho sainiwa mara ghafla MAPADRI wanakusanyana pamoja na kutoa hitimisho kuwa MKATABA HAUFAI.
Mkataba upi ULIO SAINIWA ambao umesha pitishwa na serikali USIOFAA?
Kwa mtu aliyesoma tamko lote, hawezi andika ulichokiandika. Huwezi kuwa hujasoma mkataba, halafu uweze kuunukuu na kutaja vifungu vyenye Matatizo.Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Pamoja na kukataa kutishwa, maandishi yako yanaonyesha umetishwaUsinitishe narudia tena usinitishe na wala msijione ya kwamba ninyi ndio wakamilifu Tu kuliko dini zingine. Full stop
Itunze hii ili ukiwa ,mzee (kama bado) uje ujilaumu nayoVitamko uchwara kama hivyo haviwezi kuzuia serikali kuendelea na majukumu yake!!
Nina wasiwasi na umri wako. Nahisi umezaliwa janaHakuna signature yyt imewekwa mpk leo hii.
Na bado majadiliano yanaendelea .
Kilichoanzishwa ni maandalizi tu ya awali.
Lkn ule mkataba wa kazi yenyewe rasmi bado haujapitishwa .
Na wanaosa sababisha kuchelewesha ni hawa WEZI walio ibia hili taifa kwa miaka isio na Idadi
WALAANIWE MPK MWISHO WA MAISHA YAO.
Kilichopelekwa bungeni na kujadiliwa na wajinga kupiga makofi kukipitisha ni nini?Kwa mtu aliyesoma tamko lote, hawezi andika ulichokiandika. Huwezi kuwa hujasoma mkataba, halafu uweze kuunukuu na kutaja vifungu vyenye Matatizo.
POST YAKO INAONYESHA WEWE HUJASOMA TAMKO ZIMA LA MAASKOFU.
Hata akizaliwa muda huu . Ujinga hautaisha. Achana naye Mkuu hili ni lile kundi linalolipwa kushinda mtandaoni kuwafanya wengine hawawajui.Nina wasiwasi na umri wako. Nahisi umezaliwa jana
Better late than never...Wamechelewa sana hata hivyo
Imeisha..Kanisa katoliki ndo serikali,wakisema wao basi wamemalizaaaa
Tumsifu Yesu Kristo!!!