Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hoja 8 muhimu za TECNchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.
Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.
Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.
Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.
Tutailinda Katiba
Unamshauri nini samiaJiulize Kwanini Maaskofu Katoliki huteuliwa na Baba Mtakatifu wa Dunia
😂😂😂😂🔥🔥
Roma Locuta, Causa Finita Est.Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.
Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.
Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.
Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.
Tutailinda Katiba
Santeee (in Anna Makinda voice)Hoja 8 muhimu za TEC
14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):
14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.
14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.
14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.
14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.
14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.
14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.
14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
Hata kwny Mauaji ya Kimbari walishiriki mstari wa mbele kukusanya watutsi kwny Makanisa kama vile wanawaokoa lakini wakishajaa wanawaita Wahutu waje wawanalize, halafu cha kushangaza hao Watutsi waliowakusanya na kuwateketeza makanisani walikuwa Wakristo wenzaoMuulize Kabila kitu Maaskofu wa Katolik walinfanyia kule Congo, au Muulize Mugabe alivyo kuwa anapelekwa mputa na hao katolik, usiche na hao watu
Hoja 8 muhimu za TEC
14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):
14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.
14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.
14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.
14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.
14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.
14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.
14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
Hakuna hoja hapa.expand...
Na huyo Kitima si wa huko huko Ngara.Hata kwny Mauaji ya Kimbari walishiriki mstari wa mbele kukusanya watutsi kwny Makanisa kama vile wanawaokoa lakini wakishajaa wanawaita Wahutu waje wawanalize, halafu cha kushangaza hao Watutsi waliowakusanya na kuwateketeza makanisani walikuwa Wakristo wenzao
Tatizo mnajibu hoja bila hata ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa.Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.
Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.
Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.
Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.
Tutailinda Katiba
Kwa kifupi ni cartel iliyo kimaslahi zaidiWakatoliki ndo hawataki mkataba na Dpworld kisa ni waarabu waislam...
Hakuna cha kasoro za mkataba zirekebishwe wala Mahakama imesema mkataba hauna shida...
Wako very very clear....
Only watu wajinga ndo watajifanya hawajaelewa
Hahaaaaa... tulia jielimishe. Sio wa huko lkn hilo sio hoja. Jibu hoja zakeNa huyo Kitima si wa huko huko Ngara.