Mkataba umeweka wazi kifungu kwa kifungu, ni siasa za kishenzi zinazoichelewesha Tanzania kupiga hatua.
 
Mkataba umefafanuliwa kifungu kwa kifungu, ni siasa za kishenzi zinazoichelewesha Tanzania kupiga hatua.
 
Dr. Kitima mwenyewe ni msomi, nafikiri wa Sheria. Alikuwa Makamu Mkuu wa SAUT.
 
Upo kijijini hapo alafu eti unasema viongozi nyenyenye.

Nenda China uone kama kuna upuuzi wa mambo ya Dini kule?
 
Waache waropoke Bunge limeshabariki serikali inaendelea na mchakato wake. Hivi viaskofu vinavyotegemea kula kupitia madhabauni vina shida sana.
 
Hii imeenda imeendaaa
 
Safi. Limekaa vema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…