Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

Attachments

  • hunter-and-lion.jpg
    hunter-and-lion.jpg
    28.3 KB · Views: 2
Unanionya kama nani au unafikiri mimi pia namuogopa Padre Kitima?

Mimi ni Atheist sisikilizi la Shekhe wa la Padre
Nilikuonya kiistarabu ukajifanya unakaza fuvu unatuchukulia sisi viazi km wewe
 
Ni uongo kwamba TEC walikosa njia zote za kuufikisha ujumbe wao kwa serikali bila kuleta mgawanyiko katika taifa.

Suala la udini na ukanda tuwaachie CHADEMA, wao ndio wameharibu huu mjadala tangu mwanzoni kwa kuleta udini na ukanda,

Ni ajabu mbali na usomi wanaonasibishwa nao, hawa TEC wameshindwa kujua hadhira na hali ya kisiasa hapa nchini.
Hili suala lilishachukua mlengo wa wazanzibar na wabara, na pia mlengo wa kidini. Walipaswa kujua kulileta suala hili madhabahuni ni kuleta udini.

Ieleweke tu kukaa darasani sana sio kuelimika,

Mwisho ileweke kua TEC ni Wakatoliki haiwakilishi Wakristo wote
Wasingetoa huo waraka wangekuwa wametimizaje wajibu wao? Kwa jinsi serikali ilivyokuwa inageuza-geuza hoja, uamuzi wa mihimili ya Mahakama na Bunge kuunga mkono mkataba wa DP/URT, serikali isingewasikiliza wananchi wake, TEC wamewakilisha maoni ya wananchi, Mahakama na Bunge wameunga mkono serikali, na wananchi ndiyo wenye nchi, yapaswa wasikilizwe na waheshimiwe.

Vv

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Mbona Wakatoliki hawawatetei hawa Wanyama wetu wanaouwawa hovyo
1 (1).jpg
 
Back
Top Bottom