Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Najua una ID nyingi umeamua hii ikipigwa Ban uje na nyigine huo ni utoto na kushindwa hoja
Tulia wewe nilishakuonya ukajifanya unakaza fuvu sasa acha nikupe spana zako wewe unatuletea maswali ya kindergarten humu jinga kabisa
 
Umeandika utumbo mtupu huo muda uliotumia si bora hata ungeangalia mpira wa Simba na Dodoma jiji tu.

Kila kitu kimejibiwa na Waraka hata huu upuuzi wako ulioandika Kanisa katoliki halina Unafiki.

Yani kwa waraka ule bado unasimama na hawa watawala waliojaa tamaa ya fedha kwa kutaka kuuza nchi yetu basi nchi kama nchi bado kuna kazi kubwa inaonekana bado kuna kundi kubwa la watu wasiojielewa
 
Ni uongo kwamba TEC walikosa njia zote za kuufikisha ujumbe wao kwa serikali bila kuleta mgawanyiko katika taifa.

Suala la udini na ukanda tuwaachie CHADEMA, wao ndio wameharibu huu mjadala tangu mwanzoni kwa kuleta udini na ukanda,

Ni ajabu mbali na usomi wanaonasibishwa nao, hawa TEC wameshindwa kujua hadhira na hali ya kisiasa hapa nchini.
Hili suala lilishachukua mlengo wa wazanzibar na wabara, na pia mlengo wa kidini. Walipaswa kujua kulileta suala hili madhabahuni ni kuleta udini.

Ieleweke tu kukaa darasani sana sio kuelimika,

Mwisho ileweke kua TEC ni Wakatoliki haiwakilishi Wakristo wote
Huo waraka ulikaa mezani kwa rais zaidi ya siku 10 bila majibu kuamua kuuleta hadharani ni hatua ya pili.. Hawakurupuki.. Subiri ya tatu
 
Mbona hii hoja ni ya kipuuzi? Ungelaumu ccm kuruhusu na kupitisha mkataba huo bila kujua athari zake. Wabunge wangenyukana wenyewe kwa hoja bungeni TEC wasingepata loop ya kutoa hoja zao mnyukano ungeishia bungeni. Tatizo wabunge wa ccm wote wakapitisha kwa kauli moja huo mkataba tata. Ccm imefanya mistake ikiri tu kwa wananchi kuwa ilikosea.
 
Back
Top Bottom