mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hawa wabunge wetu aibu hii watajificha wapi? 2025 tuwapige chini wote!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa na wewe acha mazoea ukileta na Mimi nakuleteaSijakutukana hata kama you own this platform acha kiburi
Huwezi kufosi tufanane mawazo na tukiona hii platform inaanza kuthudhalilisha sio kazi ngumu kufungua platform HURU isiioegemea upande wowote.Sawa na wewe acha mazoea ukileta na Mimi nakuletea
Fine umeelewekaHuwezi kufosi tufanane mawazo na tukiona hii platform inaanza kuthudhalilisha sio kazi ngumu kufungua platform HURU isiioegemea upande wowote.
Mimi nazungumzia waraka sizungumzii mambo ya RungweKwenye hiyo picha kuna Mwarabu wa Loliondo hapo? hiyo ni Rungwe
Rudi soma tena nilikuwa namjibu one of Jf staffMimi nazungumzia waraka sizungumzii mambo ya Rungwe
Tunajiweka wenyewe kwenye utumwa. Kama hujitumi ni lazima uwe mtumwa.
HAIWEZEKANI KUWATENGA VIONGOZI WA KANISA NA SIASA ZA NCHI YAO!Ndugu zangu,
Anayetobomoa mtumbwi tuzame wote bora atoswe yeye alafu tobo tutajua tupambane nalo vipi!
Tupambane na tobo la mtumbwi sio anayetoboa mtumbwi.
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania? .....
labda wewe urudie kusoma au umechanganya maana umeniquote mimiRudi soma tena nilikuwa namjibu one of Jf staff
Mjadala ulikuwa umepamba moto niwiye radhilabda wewe urudie kusoma au umechanganya maana umeniquote mimi
hamna tatizo hakuna mtu asiyekoseaMjadala ulikuwa umepamba moto niwiye radhi
Kuna jamaa alishindwa kuvumilia hoja zangu akaanza matusihamna tatizo hakuna mtu asiyekosea
pole hili limekuwa tatizo sugu .Kuna jamaa alishindwa kuvumilia hoja zangu akaanza matusi
Kuna mtu anataka kuiharibu hiii Platform sio kwamba hatuwezi kufungua Platform HURU ambayo tutaweza kujadili mambo yetu ya Nchi bila ya kuwa na hofu ya ID kuwa Blackmailed na mtu yeyote yulepole hili limekuwa tatizo sugu .
Uharo wa bi mkubwa wako
Mbona hakuibadilisha mnafiki mshenzi yuleNyerere huyo huyo alishawahi kusema.. nanukuu.. KATIBA HII AKIPATIKANA RAHISI MWENDAWAZIMU ATAKUWA DIKTETA MBAYA SANA .. mwisho wa kunukuu. Maana yake, baadaye aliuona ubovu wa katiba hii