Unanionya kama nani au unafikiri mimi pia namuogopa Padre Kitima?

Mimi ni Atheist sisikilizi la Shekhe wa la Padre
Nilikuonya kiistarabu ukajifanya unakaza fuvu unatuchukulia sisi viazi km wewe
 
Wasingetoa huo waraka wangekuwa wametimizaje wajibu wao? Kwa jinsi serikali ilivyokuwa inageuza-geuza hoja, uamuzi wa mihimili ya Mahakama na Bunge kuunga mkono mkataba wa DP/URT, serikali isingewasikiliza wananchi wake, TEC wamewakilisha maoni ya wananchi, Mahakama na Bunge wameunga mkono serikali, na wananchi ndiyo wenye nchi, yapaswa wasikilizwe na waheshimiwe.

Vv

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kutishwa na yeyote kamtishe padre Kitima
Wewe bogus kuna mtu aliekutisha wewe mjinga unatuuliza maswali ya kizwazwa ututoe kwenye reli? Ntakuweka kwenye list ya Mambumbumbu
 
Mbona Wakatoliki hawawatetei hawa Wanyama wetu wanaouwawa hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…