Tunamuomba Rais wetu pamoja na Serikali yetu kwa ujumla kamwe isibabishwe wala kuyumbiswa na kauli na waraka wa TEC.

Kilichopo kwenye waraka na unafiki na uzandiki ambao umekuwapo kwenye Baraza hilo kwa muda mrefu, nia na lengo la kukwamisha jitihada za Rais katika kufikia malengo.

Tunamuomba Rais afanye kwa masilahi ya wananchi sio maoni ya TEC.
 
Kazi ya kanisa ni ibada, maswala ya mikataba haiwahusu, haya makanisa ni lazima yakaelewa, Rais wa nchi sio mkatoliki, almost 70% ya watanzania sio wakatoliki kwaiyo huo waraka wao wala hauna faida yeyote. Mkataba utapitishwa na DPW watakuja kuweka mambo sawa kwenye bandari ya DSM, tumechoka na upuuzi wa hapo bandarini, kila jambo ni rushwa, watu wanaibiwa vitu vyao, mizigo inacheleweshwa, bidhaa zinaharibika.

Hawa mapadri wamekua wapuuzi kabisa siku hizi, walikua wapi kusema kitu juu ya watanzania walio kuwa wanapotezwa wakati wa magufuli walikua wapi kuongelea Tabia ya unyanyasaji ya Makonda na wenzake?
 
Unaamka asubuhi bila akili yyte
 
Wa kupimwa akili wewe..!!

NB
Kila anayepimwa ili kujua jambo fulani, basi ameonyesha dalili za kuwa na jambo analopimwa
 
Wewe kauli yako ni nini?
 
Maoni ya TEC siyo kwaajili ya maslahi ya wananchi?
 
Wewe mjinga unawezaje kutofautisha maslai ya wananchi na maslai ya TEC, au haujui TEC ni nini, kwa kifupi TEC ni viongozi wa wakristo wa Kikatoliki Tanzania nzima
 
Naomba kwa heshima na taadhima nitofautiane nawewe.
Waraka huo ni udini, na Serikali ukiulea basi athari zake ni kuligawa taifa.
Kinachofata ni kila dhehebu la dini kutoa waraka wake kushinikiza Serikali.
Viongozi wa dini wanatumia vibaya majukwaa yao kuleta utengemano kwenye jamii.
Ni uchochezi ambao lengo lake kuleta machafuko ya kidini
 
Kama walikuwa na nia ya kweli basi wangeomba wapewe nafasi kuonana na viogozi ili watoe ushauri wao, sio kutoa waraka na kusambaza nchi nzima. Mapandri siku zote ni watu wasio na papara lakini wa siku hizi ni kama kina Shehe Ponda tu.
 
Nimegundua kuna watu humu kwenye jukwaa hamnazo kabisa, TEC wao wametoa maoni yao kutokana na wao kuupitia Mkataba kwa kina na kuuelewa. Hivyo hayo ni maoni yao na si order kwa Serikali, hata madhehebu au Dini nyingine zinaweza kutoa maoni pia.
Sasa umekuwa mjadala mkubwa, na kama kuna mtu kaupitia ule waraka vizuri utagundua kwamba hamna Udini ndani yake bali ni maoni na maono ya TEC.
 
Reactions: VSM
Wanyarwanda tumejaa tele 😁
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa waraka unaohusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World. Waraka huo umesomwa kwa baadhi ya Makanisa katika Parokia za hapa Nchini.
Je, kwa nini Majimbo/Parokia zingine hazijawasomea Waumini waraka huo?

Jana nikiwa safarini nimebahatika kusali Parokia mojawapo katika Jimbo la NJOMBE na sikuona au kusikia waraka huo ukisomwa isipokuwa nimekuja kusikia baadaye sana kutoka Majimbo na Parokia zingine.

Naomba ufafanuzi.

Kwa nini?
 
Huenda aliyekuwa nao alipata udhuru kuhudhura ibada! Bila shaka watausoma kwenye jumuiya zao!
 
Ulichelewa kufika, watasomewa wili ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…