othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mkataba mbele kwa mbele tu. Dogo linaloweza kufanyika ni kuurekebisha. Ni nani ataziacha zaidi 20 trilioni?Sioni namna hangaya anaweza kuendelea na huu mkataba
Wala hakufanya juhudi ya kubadilishwa , unafiki mtupuAliyaona hayo wakati akiwa nje ya madaraka..!! Yes, alikuwana nguvu, lakini si ya kumshinda aliyeko madrakani
Hawato thubutu kupiga vita ushoga manake PAPA ameshatoa Ruksa .Maaskofu wazidishe nguvu kwenye vita dhidi ya Ushoga.
Karibu Rwanda ndogo JF.Nimefikisha ujumbe na kuutua mzigo wa dhana niliyokuwa nayo.
Sasa nimejiridhisha na sina mashaka.
Ndo ajenda wanaweza kuisimamia sio mambo mengne. Kuna watu wanashangilia et Ngoma ya Roma for whatHawato thubutu kupiga vita ushoga manake PAPA ameshatoa Ruksa .
Na mkatoliki yyt atakaepinga Ushoga Vatican hamtambui.
In Shift for Church, Pope Francis Voices Support for Same-Sex Civil Unions (Published 2020)
The comments, shown in a new documentary, are the strongest yet from a pontificate that has taken a more tolerant and inclusive tone.www.nytimes.com
Ukristo ni ukristo tu, kinachotofautisha ni fikra za waumini. Vivyo hivyo kwa dini nyingine.Wazungu walituletea ukristo tofauti na ule ulioko kwao. Shida namba moja ya nchi hii ni ukatoliki ambao umejiwekea mfumo ati wao wako juu ya kila kitu. Tamko la wahuni tu lile
Hatutaki maoni kutokaa kwenye mamlaka za Kidini, wao wahubiri neno la Bwana na kupinga Ushoga. PERIODNimegundua kuna watu humu kwenye jukwaa hamnazo kabisa, TEC wao wametoa maoni yao kutokana na wao kuupitia Mkataba kwa kina na kuuelewa. Hivyo hayo ni maoni yao na si order kwa Serikali, hata madhehebu au Dini nyingine zinaweza kutoa maoni pia.
Sasa umekuwa mjadala mkubwa, na kama kuna mtu kaupitia ule waraka vizuri utagundua kwamba hamna Udini ndani yake bali ni maoni na maono ya TEC.
Wewe nguruwe namba moja....Tunamuomba Rais wetu pamoja na Serikali yetu kwa ujumla kamwe isibabishwe wala kuyumbiswa na kauli na waraka wa TEC.
Kilichopo kwenye waraka na unafiki na uzandiki ambao umekuwapo kwenye Baraza hilo kwa muda mrefu, nia na lengo la kukwamisha jitihada za Rais katika kufikia malengo.
Tunamuomba Rais afanye kwa masilahi ya wananchi sio maoni ya TEC.
"Tunaiomba" wewe na nani? Maana sio watanzania wote wanaweza omba bandari yao ibinafsishwe kwa mkataba wa hovyo hovyo.Tunamuomba Rais wetu pamoja na Serikali yetu kwa ujumla kamwe isibabishwe wala kuyumbiswa na kauli na waraka wa TEC.
Kilichopo kwenye waraka na unafiki na uzandiki ambao umekuwapo kwenye Baraza hilo kwa muda mrefu, nia na lengo la kukwamisha jitihada za Rais katika kufikia malengo.
Tunamuomba Rais afanye kwa masilahi ya wananchi sio maoni ya TEC.
Ndio maana Trump aliita nchi zetu "shithole kantri".. tunamlaumu bure tu ila alikua na point!Wewe nguruwe namba moja....
Serikali yenu wewe na nani shwine wewe?
We mpuuzi zandrano!
Unajua ukubwa na umuhimu wa TEC?
TEC inao mtandao mkubwa na hata huyo ring leader wenu anaujua.ndio maana ingawa yeye huwa muislam lakini huenda kuwasujudia TEC.
Nitakuwekea picha kule mwisho ili uelewe ninachokiongea
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
View attachment 2724298
Wakirekebisha itabidi warudishe 10% walizopewa akiwemo mleta mada.Ugumu uko wapi kurekebisha huo mkataba!!??
Hapotei mtu hapa, watapotea wao wenyewe. Legacy yao imekwisha. Wametuchelesha sana hawa watu. wachunge kondoo wao watuachie nchi yetu. Eti makanisa yote- unajua maana ya kanisa. Kwani katoliki tu ndio wenye makanisa? Zungumzia makanisa yako usilete propaganda.Ukienda kinyume na hawa watu utapotea
Watapoteaa wanaowachunga wale kondoo wa Bwana.Ukienda kinyume na hawa watu utapotea
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sanaNyaraka za madhehebu ya wakristo hazitatofautiana. Nyaraka za mashehe ndio zutaunga mkono. Kwa hili wao ni kama Fisiemu tu maadamu mwarabu yupo.
Wawekeze wasiwekeze wachambue wasichambue hiyo Bandari ndio hivo tena tayari imeenda poleni sanaMimi ni mwislamu hao watu wapo vizuri wamewekeza kwenye resilimali watu, wa fans zote hapo hawajakurupuku wamechambua kipengele kwa kipengela ndugu