Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Lete tamko la kupinga ukileta najitoa JF.Walipinga serikali ikapuuzia, na inalipa fidia mpaka leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete tamko la kupinga ukileta najitoa JF.Walipinga serikali ikapuuzia, na inalipa fidia mpaka leo.
Walipinga wapi na lini?Walipinga serikali ikapuuzia, na inalipa fidia mpaka leo.
Mifumo gani unayoizungumza hapa Tanzania?Hapa ndo Serikali inatakiwa kusimama Firm. Mifumo yote halali kwa mujibu wa Katiba yetu imetoa go ahead kwenye uwekezaji.
Leo ukiwasikiliza hawa, kesho waislamu wakitoa tamko nao watataka wasikilizwe.
Kamwe nchi haiendeshwi hivyo.
Kila kitu kiko wazi hata hapa JfUngetuwekea reference ingependeza
Kamuulize kitime hili swali yeye ndio aliosema.Walipinga wapi na lini?
Ndo Nini umeandika hichiUsikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Ukijitoa mimi napata nini?Lete tamko la kupinga ukileta najitoa JF.
Wangemsepesha mwinyi maana walilia eti kipindi chake misikiti imezidi,wao wachunge kondoo wanywe divai,nchi siyo parokiaHulijui Kanisa la Roma wewe, hao hata wakiamua leo huyo mama abduli kesho asepe atasepa ila hekima wanayo
Uaskofu ni tofauti na ushehe, ili uwe askofu inakulazimu uende shule ukasome na utoke na kitu kizito.Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Wavaa kobaziDini za mchongo.
Una wasiwasi?Ni kama vile mambo yanatendeka kwa haraka sana tena yakiwa yamebeba uzito mkubwa
Tumuombe Mungu wa mbinguni atujalie Hekima yake tuweze kuvuka kwa sababu ni dhahiri tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki litazua Mjadala mpya
Jumaa Mubarak!
Its over kuhusu huo mkataba.....Kuna mkataba wa Kanisa na Serikali kanisa linapewa pesa kila mwaka wananchi walishirikishwa lini?
Hilo tamko ni ujinga tu. Sasa naelewa kwa nini China hizi dini wanazipiga piniNi kama vile mambo yanatendeka kwa haraka sana tena yakiwa yamebeba uzito mkubwa
Tumuombe Mungu wa mbinguni atujalie Hekima yake tuweze kuvuka kwa sababu ni dhahiri tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki litazua Mjadala mpya
Jumaa Mubarak!
Serikali kugawa migodi kwa Wazungu kumbe raia walikubali na mkataba wa miaka 100 Buzwagi.Kanisa linajua kama mamlaka zilichotewa pesa kulainisha mkataba. Hawakatai bahati mbaya
Una uhakika gani kama ni hao?? Na je kama walifanya hivyo ndo unataka hayo makosa waliofanya yarudiwe tena? Yani wasitetee masilahi ya nchi kisa makosa ya nyuma yaliotendekaHawa hawa ndio walipokea fedha za ufisadi miradi ya umeme kupitia benki yao mkombozi kwenye sakata la escrow leo hii wanataka watuambie nini watanzania majambazi wakubwa.