Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Hapa ndo Serikali inatakiwa kusimama Firm. Mifumo yote halali kwa mujibu wa Katiba yetu imetoa go ahead kwenye uwekezaji.

Leo ukiwasikiliza hawa, kesho waislamu wakitoa tamko nao watataka wasikilizwe.

Kamwe nchi haiendeshwi hivyo.
Mifumo gani unayoizungumza hapa Tanzania?

Maaskofu wenyewe ktk watakao huo wameonyesha mashaka makubwa ya uhuru wa maamuzi ktk mifumo hiyo.
 
Hawa hawa ndio walipokea fedha za ufisadi miradi ya umeme kupitia benki yao mkombozi kwenye sakata la escrow leo hii wanataka watuambie nini watanzania majambazi wakubwa.
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Uaskofu ni tofauti na ushehe, ili uwe askofu inakulazimu uende shule ukasome na utoke na kitu kizito.
 
Ni kama vile mambo yanatendeka kwa haraka sana tena yakiwa yamebeba uzito mkubwa

Tumuombe Mungu wa mbinguni atujalie Hekima yake tuweze kuvuka kwa sababu ni dhahiri tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki litazua Mjadala mpya

Jumaa Mubarak!
Una wasiwasi?
 
Hilo tamko ni ujinga tu. Sasa naelewa kwa nini China hizi dini wanazipiga pini
 
Hawa hawa ndio walipokea fedha za ufisadi miradi ya umeme kupitia benki yao mkombozi kwenye sakata la escrow leo hii wanataka watuambie nini watanzania majambazi wakubwa.
Una uhakika gani kama ni hao?? Na je kama walifanya hivyo ndo unataka hayo makosa waliofanya yarudiwe tena? Yani wasitetee masilahi ya nchi kisa makosa ya nyuma yaliotendeka
 
Simba kaunguruma!
Kweli maaskofu ni vichwa haswaa!
Wameuchambua vizuri sana mkataba na walipopinga wamepinga kwa hoja kuntu zilizo kwenye huo mkataba dhidi ya katiba yetu.

Sio huyu bibi FaizaFoxy kuja kutulisha Matango pori hapa na uarabu wake. Anaulizwa kuhusu uhalali wa mkataba yeye anakuja na mijuzuu yake.
Km juzuu ndio katiba ya Tanzania vile
 
Back
Top Bottom