Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Hata wao ni sehemu ya jamii, wana haki ya kutoa maoni yao kama wewe unavyo "comment" 🙂
 
"Viongozi wa dini wakati wote tumekuwa na nia njema, inajitokeza tunaposifu (serikali) hapo tunakuwa wazuri lakini tunapokosoa tunaonekana watu wenye shida".- Padre Raymond Saba, 4/06/2018
Huyo Padri arudi paroko akajifunze tena imani yake.

Wapi kwenye imani yake kafundishwa kukosoa serikali?
Hawa si kila siku wanasomesha watu. "Cha kaisari mpe kaisari na cha Mungu mpe Mungu?
Akupigae shavu la kushoto mpe na la kulia?
Akunyanganyae Koti mpe na Joho?

Sasa hayo mafunzo yoote wanayoimba kila siku leo kusikia MWARABU Mwenye pesa nyingi anataka kuwekeza Bandarini wamesahau Mafunzo yote ya Biblia ghafla?

Kupongeza wanaruhusiwa lkn Kukosoa serikali sio kazi ya PAROKO YYT .

Waanze kukosoa wale MAASKOFU wanaouza mchanga wa Kunduchi wakidai ni mchanga wa UPAKO.
Wamkosoe GWAJIMA anaedai anafufua wafu wakati MAMAKE MZAZI KAFA mbele yake kashindwa kumuongezea hata saa moja ya kuishi.

Waanze na hao wanaoibia wananchi maskini mchana kweupe.
Au wakiendelea na kuropoka huku watawasha moto na kukimbia hawawezi manake wengi wao vitambi vya mali za haramu ni vikubwa sana.
Na zile nguo zao ndefu wataumia sana kwenye hizo mbio
 
Na huu ndio UOGA WA WAKRISTO.
Wanaogopa akiwekeza mwarabu basi UISLAMU UTAZIDI TANZANIA hali ya kuwa WAARABU ni asilimia 15% tu ya WAISLAMU WOTE DUNIA.
Asilimia 85% YA WAISLAMU DUNIA SIO WAARABU.

Kwa hio Acheni uoga. Kuweni na confidence. UISLAMU ni Dini ya haki na inaongezeka Duniani kwa kasi kubwa sana.
Hata mfanye nini hakuna kitakacho zuia UISLAMU usiendelee. DINI YA KWELI lzm Iendelee na Dini za UONGO lzm zife pole pole mpk zitaisha kabisa.

Hio sio mimi na wewe bali NI AHADI YA MUNGU MUUMBA
Huu mkataba ulikuwa kati ya Tanzania na Dubai.
Haya ya dini yametoka wapi?

Kutajwa 'waarabu' ndiyo iwe sababu ya kuingiza dini?

Viongozi wa Kikristo waogope kusema kitu hata kama hakifai kwa vile kinawahusu waarabu na Uislam?

Kuhusu hayo ya dini unayojigamba nayo hapa, ni ulevi tu kama ulivyo ulevi wa aina nyingine zote.
Historia yako humu JF inajieleza yenyewe kuhusu hilo; na watu wa aina yenu ndio mnaofanya dini hizi, iwe ya kikristo au kiislam zionekane kuwa za kipuuzi kabisa.

Kwa hiyo, kwa maoni yako haya, uislamu utakapokuwa umeenea kila mahala na dini nyingine zote kufa, dunia hii ndiko kutakakokuwa peponi kwa watu kama wewe?

Hopeless Kabisa.
 
Punguza hasira
Kuna PHD Masters za Ukweli sio kama hizi za kununua mtandaoni
Wanajielewa wametoa Tamko kama Kanisa na WaTanzania shida ipo wapi?
PHD inahusiana nini kwenye suala la KANISA kuingilia kazi na maamuzi ta Serikali?

Nani amekwambia ukiwa PHD Holder you have the rights to run your mouth wherever you feel.

Hii nchi ina Bunge na Katiba ambayo ndio Sheria ya Nchi.
Wapi sheria imeruhusu KUNDI LA DINI kuingilia kazi za serikali ?!

Kesho MAASKOFU wakisema Ndoa za Jinsia moja ni sawa kwa sababu PAPA wa VATICAN karuhusu unataka Tusikilize tu kwa sababu wana PHD?
Jitambue na uitambue sheria ya nchi yako Pakawa .
Hizo hizo PHD zinatumika Kupiga mimba ma sister humo ndani ya maparokia.

Hatari sana
 
Kuna watu wanakosoa eti Kanisa lisichanganye dini na siasa! Hivi dini na siasa unazitenga vipi?
Kwa hiyo Jeshi la polisi liiwache tu Uamsho na Mujahidina na Magaidi wafanye siasa zao kwa uhuru.

Wao pia wana agenda zao

Ndio maana waasisi waliamua Usecular muwe munaelewa.
 
Huu mkataba ulikuwa kati ya Tanzania na Dubai.
Haya ya dini yametoka wapi?

Kutajwa 'waarabu' ndiyo iwe sababu ya kuingiza dini?

Viongozi wa Kikristo waogope kusema kitu hata kama hakifai kwa vile kinawahusu waarabu na Uislam?

Kuhusu hayo ya dini unayojigamba nayo hapa, ni ulevi tu kama ulivyo ulevi wa aina nyingine zote.
Historia yako humu JF inajieleza yenyewe kuhusu hilo; na watu wa aina yenu ndio mnaofanya dini hizi, iwe ya kikristo au kiislam zionekane kuwa za kipuuzi kabisa.

Kwa hiyo, kwa maoni yako haya, uislamu utakapokuwa umeenea kila mahala na dini nyingine zote kufa, dunia hii ndiko kutakakokuwa peponi kwa watu kama wewe?

Hopeless Kabisa.
Nani kasema au lini limewahi kutamka kuwa natamani Dini zingine zote ziishe?
Tatizo lako unanivamia mimi binafsi bila kupambana na hoja zangu.

Nakuuliza wewe sasa ambae unadai sio mdini.
Wapi ktk KATIBA jumuia wa DINI flani imeruhusiwa kuingilia masuala ya SERIKALI?
Leo BAKWATA ingesema inasapoti au Kupinga huo mkataba pangekalika humu?

MAASKOFU kazi yao kuu ni kutangaza imani zao na kufanya wanayofanya huko makanisani.

Leo wamepata wapi jeuri ya kukusanyana na kutamka kwa pamoja ati Sauti ya Mungu inasema mkataba mbaya?

Na je km kweli ni wapenda maendeleo ya Nchi hii Ile mikataba ya kina William diamonds iliomaliza Almasi zetu na dhahabu kwa zaidi ya miaka 100 iliposainiwa wakiwemo viongozi wa VATICAN uliwahi kusikia MAASKOFU WANASEMA KITU?

Mpk magufuli kaamua kuifuta yote ulisikia PAROKIA hata moja inalalamikia WAZUNGU?

Leo km sio UDINI na kutaka kuendeleza WIZI PALE BANDARINI ni kipi MAASKOFU kinawakera zaidi ya kuona WAARABU?

Nisaidie jibu!
 
Tangu mwanzo mliambiwa kujibu hoja za Mkataba mkapandikiza Udini na Bigshow na Akina Faiza Fox.

Haya sasa ngome hiyo ichezeni sasa tuone.😆😆
Hawa watu nadhani wanataka sasa iaminike kwamba mkataba huu wa Dubai ulikuwa na hila kadhaa nyuma yake. Hii siyo kawaida kabisa.

Wanachokiona wao ni Dubai kuwekeza tu, bila kujali uwekezaji huo unayo masharti gani kwa nchi yetu.
Kwa nini iwe hivi?
 
Tuhuma za uongooo , nmesoma kuanzia La kwanza mpaka. Chuo Kikuu na waislam.

Sema ukweli ni kwamba, waislam wengi ni Mbumbumbu kichwani.

Angalia mikoa ambayo angalau Ina idadi Kadhaa ya waisalm,, ndio inaongoza kufanya vibaya mitihani..

Ndo mikoa ambayo Masheikh ubwabwa wanataka kuoa watoto wa miaka 14.

Ndo mikoa ambayo watoto wa kike hawatakiwi Kusoma.

msisingiziee TEC, ukweli ni Kwamba, ukiona Muislam kasoma kafika juuu Sana kielim, basi ujue huyo amejitutumua Sanaa🤣🤣🤣
Hili ndio tatizo la watoto kukulia mitaani.
We unadai umefika chuo kikuu ungeandika utumbo huu hapa?
Chuo gani kinasomesha akili kuambiwa ya namna hii?
Na kiko wapi? Km kipo na kifungiwe haraka sana..

Unafahamu historia za kina kigoma malima wakati wa Nyerere wewe?
Unajua sababu kuu ya kuondoa majina kwenye mitihani na kuweka Namba hapa Tanzania?

Unafahamu historia ya wizara ya Elimu toka tumepata uhuru ?

Huenda ikawa naongea na mtoto wa miaka chini ya 35 lkn hio pia sio sababu ya wewe kutokujua Historia ya nchi unayoishi. Hasa unapodai ni University graduate..
What did you study anyway?
Cooking?

Nenda kajifunze Unyama wa Nyerere akishirikiana na KANISA kwa lengo la kudhulumu Haki za waislamu Nchini.
Ukikosa njoo inbox nikupe Data. Kama wewe ni mpenda haki na mpenda kujua ukweli
Iko siku utanishikuru .

Sio kuja hapa kuropoka tu ati waislamu hawajasoma.
Manake wasio waislamu wana extra nervous system au?
 
Ulitakaje mfano.
Uuzwe hali umefungwa kwenye gunia au?

Vijana someni kwanza kinacho jadiliwa kabla hamjaanza kupinga.
Mnaweza kukosa biriani kwa kelele zetu mkaangukia Bada kavu
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Dr. Slaa, Dr Nshala, Mdude (wote zaidi ya masaa 89 mahabusu kinyume na sheria) Walioandamana juzi kupinga Bandar(Haki yao) Mbowe Miezi 6 Mahabusu (Kesi ya mchongo ikafutwa kwa kukubali Kwenda IKULU). HAWA WOTE WAMEUMIZWA NA AWAMU YA NGAPI?

Mwezi wa nne 2023 maiti zimeokotwa kule Tanga. Vijana watano Dar wamepotea Tangu Novemba 2022, Kuna mfanyabiashara wa madini Kule Mtwara aliuwawa mwaka 2022. Matukio haya yote yametokea awamu ya ngapi?

Mwili wa ASKOFU Boniphace KWANGU uliokotwa ziwani Victoria Novemba 28, 2022 ilikuwa awamu wa ngapi?

June 24, 2023 IGP aliunda Tume kuchunguza kifo cha Mandela Petro Mkoani Simiyu ilikuwa awamu ya ngapi

ENOS MISALABA mkoani Geita aliuwawa na watu March 27, 2023 ilikuwa awamu ya ngapi?

Watu wanne wote BODABODA waliuwawa kwa pamoja na watu wasiojulikana May 26, 2023 katika kijiji cha NYAMIKOMA mkoani Mara ilikuwa awamu ya ngapi?

Ndugai Ndugai Ndugai.

Raisi anasema STUPID wanatukanwa wezi wa awamu ya sita imeisha hiyo.
Rais anasema Kuleni kwa urefu wa kamba zenu kwenye BARAZA LA MAWAZIRI awamu ya sita.

Raisi anasema mkiendelea kuiandama serikali yangu Nitatumia sheria za ndani KU-BAR kwenye mkutano wa mawakili 2022 Arusha awamu ya sita.

Kinachokusumbua wewe ni MAHABA NIUE na CHUKI BINAFISI KWA MTU FLANI

Soma RIPOTI YA MTO MARA , EXCHANGE RATE to stand on 19/08/2023. na BOT USD Reserve as of 15/08/2023. Ukoleze Mahaba yako Kwa mama upate usingizi.
Bure kabisa.
Kiukweli nimecheka sana!
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
This is all myths and lies.
Wala sina haja ya kuzichambua hata kidogo hizo hoja zako manake ni UONGO MTUPU uliowekwa na wapigaji wa hapa nchini wanaotaka kuendelea kuiba .
Wewe naamini una akili timamu na wala haijitaji kusoma sana kufahamu kuwa hakuna binaadamu mwenye akili timamu akaweka masharti ya namna hio . Akitegemea upande wa pili utakubali.
Hata mtoto mdogo anajua hilo.

Hio kampuni sio kampuni ya ujanja ujanja kama hizo za wachina.
Wachilia mbali kampuni ya uwekezaji We kwa akili yako kuna nchi yyt duniani inaweza kuweka Masharti ya namna hio kisha itegemee kuna kukubaliwa na nchi nyingine yyt duniani ?

Huo ni UONGO na UZUSHI na Hata mwendawazimu anajua kuwa Huo ni UZUSHI.

Kama huja bahatika kuona copy ya makubaliano Msikilize yule Mdosi alichokuwa anaongea na pia kaongeza chumvi nyingi sana lkn hajakufikia wewe.
Hakutaja hata moja ktk hizo point uliotaja hapo kwa namna ulioandika.

Yes kuna masharti magumu wameweka kulinda pesa wanazowekeza.
Usidhani kuna kampuni itawekeza millions of dollars kisha iweke masharti mepesi HASA KWA WAAFRIKA.

Sisi tuna kigeugeu sana na ndio maana nchi zetu tunabaki kusifia zina mali nyingi lkn tutaendelea kufa njaa mpk siku Yesu atakaporudi.

Mimi niwekeze pesa nyingi namna hio kisha mnambie mkataba huu uishe baada ya miaka 10 au 20 kisha mnifukuze? Hizo pesa lini ntazirudisha na faida lini ntapata?

Lzm ntaweka masharti ambayo yatanihakikishia usalama wa pesa ntakazo wekeza . Na hio ni jambo la kawaida kwa muwekezaji wa aina yyt.

Lkn Hicho ulichoandika hapo ni upotoshaji mtupu na ummah wenye weledi wanafahamu.
Sasa endeleeni kupotosha watu lkn Hakuna anaefaidika hapa zaidi ya hayo hayo majizi ya siku zote yanaojiita VIONGOZI WA KUPELEKA WATU MBINGUNI.
 
This is all myths and lies.
Wala sina haja ya kuzichambua hata kidogo hizo hoja zako manake ni UONGO MTUPU uliowekwa na wapigaji wa hapa nchini wanaotaka kuendelea kuiba .
Wewe naamini una akili timamu na wala haijitaji kusoma sana kufahamu kuwa hakuna binaadamu mwenye akili timamu akaweka masharti ya namna hio . Akitegemea upande wa pili utakubali.
Hata mtoto mdogo anajua hilo.

Hio kampuni sio kampuni ya ujanja ujanja kama hizo za wachina.
Wachilia mbali kampuni ya uwekezaji We kwa akili yako kuna nchi yyt duniani inaweza kuweka Masharti ya namna hio kisha itegemee kuna kukubaliwa na nchi nyingine yyt duniani ?

Huo ni UONGO na UZUSHI na Hata mwendawazimu anajua kuwa Huo ni UZUSHI.

Kama huja bahatika kuona copy ya makubaliano Msikilize yule Mdosi alichokuwa anaongea.
Hakutaja hata moja ktk hizo point uliotaja hapo kwa namna ulioandika.

Yes kuna masharti magumu wameweka kulinda pesa wanazowekeza.
Usidhani kuna kampuni itawekeza millions of dollars kisha iweke masharti mepesi HASA KWA WAAFRIKA.

Sisi tuna kigeugeu sana na ndio maana nchi zetu tunabaki kusifia zina mali nyingi lkn tutaendelea kufa njaa mpk siku Yesu atakaporudi.

Mimi niwekeze pesa nyingi namna hio kisha mnambie mkataba huu uishe baada ya miaka 10 au 20 kisha mnifukuze? Hizo pesa lini ntazirudisha na faida lini ntapata?

Lzm ntaweka masharti ambayo yatanihakikishia usalama wa pesa ntakazo wekeza . Na hio ni jambo la kawaida kwa muwekezaji wa aina yyt.

Lkn Hicho ulichoandika hapo ni upotoshaji mtupu na ummah wenye weledi wanafahamu.
Sasa endeleeni kupotosha watu lkn Hakuna anaefaidika hapa zaidi ya hayo hayo majizi ya siku zote yanaojiita VIONGOZI WA KUPELEKA WATU MBINGUNI.
Okay, ukomo ni miaka mingapi?
 
Okay, ukomo ni miaka mingapi?
Ndio maana bado inaitwa Negotiations.
Bado watu wanajadili na hakuna kilicho sainiwa mara ghafla MAPADRI wanakusanyana pamoja na kutoa hitimisho kuwa MKATABA HAUFAI.

Mkataba upi ULIO SAINIWA ambao umesha pitishwa na serikali USIOFAA?
 
Utakuwa umezaliwa jana wewe, hukumu ilisemaje??
 
Wakatoliki waishi milele na dini zingine ziige kwao.Hata kama kitu unakiona kina faida sana ukiona wananchi wetu wahakitaki achana nacho. Wananchi ndio wenye nchi usishupaze shingo utavunjika. MIMI napenda sana Dr. Rais Samia 2025 ashinde za 80% ila mkataba ya bandari sipendi sio faida, mkataba ya bandari mbaya sana hausemi faida
Kutakuwa kuna tatizo kubwa, kwanini Rais ajitokezi kutoa ufafanuzi wa hili jambo zito namna hii? Niliwahi kusema nchi uingia kwenye matatizo sababu ni viongozi waliomadarakani, lkn wenyewe wakiwa madarakani usema wapinzani wanaleta fujo.
 
Wewe tukana tu ndio akili zako ziliposishia.
👉Mama Samia ushauri si lazima kuufata uwekezaji muhimu kuufanya hivi karibuni ni kwa manufaa yetu sote waTANZANIA. TEC watake wasitake mama ataruhusu uwekezaji.
Kwani kuna mtu anapinga uwekezaji?
 
Back
Top Bottom