Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.

Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.

Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.

Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.

Tutailinda Katiba
Serikali ya Kidemokrasia??? wakati waliiba kura, bunge chama kimoja.....Ngombe
 
Kwa kifupi ni cartel iliyo kimaslahi zaidi
Italian mafia..
Wana kusanya sadaka wanawapelekea wazungu ...
Kazi kulazimisha serikali iwalipie mishahara wafanyakazi wao kwenye hospitali zao ...na Ku demand misamaha ya Kodi Kwa biashara zao...
Maslahi ya Vatican ndo wanapigania
 
Kwa taarifa yako wewe mpumbavu mleta mada!

Kabla ya yote jiulize ni Rais gani anaeupata urais na asiende kwa Kardinali kufanya mazungumzo?

TEC inaongoza taasisi kubwa na inayowafikia wananchi kuanzia mashinani ambako hakuna ofisi za serikali wala kituo cha Polisi.

TEC inasimamia taasisi kubwa ambayo ndani yake inamiliki asilimia kubwa ya vyuo vikuu pamoja na shule nyingi sana za secondary ambazo hata hao viongozi wako wa CCM ndio wamepatia elimu zao.

TEC inasimamia na kuongoza taasisi kubwa za miundombinu ya kutoa tiba katika nchi hii, na ni kimbilio la wananchi wengi katika nchi hii.

TEC Inao mtandao mkubwa wa kupata taarifa kuanzia ground zero huko mashinani mpaka Serikalini.

TEC haina vilaza bali imesheheni wasomi wa kiwango cha juu,na pia huwa haikurupuki kama unavyofikiria wewe na waliokutuma.
Kabla ya kutoa tamko wamefanya research ya kutosha(ikiwemo kumuita waziri mbarawa na wasaidizi wake)
Na waliitikia wito na kuhudhuria ule mkutano baina yao na serikali.

TEC wanasimamia miradi ya matrilioni ya shilingi nchi nzima ikiwemo pia viwanja vyote bora kwenye maeneo vulnerable nchini.
Lakini hujawahi sikia wakituhumiwa kwa ufisadi.

TEC hawawezi kukaa kimya nu kuangalia huku upuuzi ukizidi kuongezeka kila uchao nchini.

Mfano mwingine mdogo nimekuwekea hapo uone CCM. Inakotupeleka nchi hii.
Mtoto wa Samia ana cheo gani nchi hii hadi anakwenda kuongea na Rais Museveni kuhusu miradi ya serikali.
View attachment 2721368
 

Attachments

  • Screenshot_20230817-201642_Twitter.jpg
    Screenshot_20230817-201642_Twitter.jpg
    57.4 KB · Views: 1
Sasa wabunge waliopitisha ule mkataba wameanza kuonja joto ya jiwe.
Na hapo Raisi atakapo achana na Mkataba huu ni wabunge wasio zidi wanne watakao stahili uhalali wa kuwasemea wananchi nao ni
1 Mdee Halima
2 Kenan mb wa Nkasi
 
Italian mafia..
Wana kusanya sadaka wanawapelekea wazungu ...
Kazi kulazimisha serikali iwalipie mishahara wafanyakazi wao kwenye hospitali zao ...na Ku demand misamaha ya Kodi Kwa biashara zao...
Maslahi ya Vatican ndo wanapigania
Ndo mana China wananyooshwa kweli kweli. Italy penyewe walichukua muda sana kumaliza cartels zao za kimafia
 
Mbaya zaidi sikuwahigi sikiaga tamko lao pale maaskofu wao walipopokea miamala ya escrow kutoka kwa rugemalila!

Hawa ni cartel kama cartels zingine tu
Umeandika kwa lugha gani hapa? Kihutu au?
 
Wakatoliki ndo hawataki mkataba na Dpworld kisa ni waarabu waislam...
Hakuna cha kasoro za mkataba zirekebishwe wala Mahakama imesema mkataba hauna shida...

Wako very very clear....
Only watu wajinga ndo watajifanya hawajaelewa
Unaweza kukuta Hiyo DP World ni ya hao hao Wakatoliki 😂😂🔥

Dubai ni Sawa na Dayosisi tu
 
Mkuu nguvu waliyo nayo kikatiba ni kutoa maoni kama wewe ulivyofanya. Wewe wapuuze tu halafu endelea na utekelezaji wa huo Mkataba ila huko mbeleni usijeomba msamaha Kwa wananchi.
 
Italian mafia..
Wana kusanya sadaka wanawapelekea wazungu ...
Kazi kulazimisha serikali iwalipie mishahara wafanyakazi wao kwenye hospitali zao ...na Ku demand misamaha ya Kodi Kwa biashara zao...
Maslahi ya Vatican ndo wanapigania
Lkn unaonaje hizi hoja ?
Hoja 8 muhimu za TEC

14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):

14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.

14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.

14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.

14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.

14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.

14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.

14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.

14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
 
Wakatoliki ndo hawataki mkataba na Dpworld kisa ni waarabu waislam...
Hakuna cha kasoro za mkataba zirekebishwe wala Mahakama imesema mkataba hauna shida...

Wako very very clear....
Only watu wajinga ndo watajifanya hawajaelewa
Hoja ya kipuuzi toka kwa mfia dini mpuuzi.
 
Taasisi ya kidini kubwa kama Roman Catholic, ina waumini wengi sana katika nchi na dunia ( ina wajibika moja kwa moja kwa waumini wake kimalezi ya kiroho, nafsi na mwili ), .. Mawazo ya Baraza la askofu = Mawazo ya waumini .. show ndio imeanza subiri wa KKKT, FPCT na wengineo.. iwakilishe waumini wao.. alafu mkaze shingo then 2025.. mtaona shughuli yake
Rais wa Tanzania hachaguliwi kwa box la kura usijidanganye wewe kilaza

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
TEC ikiongea, asalama leku inabidi mtii tu . Hakuna namna nyingine.
 
Italian mafia..
Wana kusanya sadaka wanawapelekea wazungu ...
Kazi kulazimisha serikali iwalipie mishahara wafanyakazi wao kwenye hospitali zao ...na Ku demand misamaha ya Kodi Kwa biashara zao...
Maslahi ya Vatican ndo wanapigania
Kama sadaka ni za kwetu, kwanini unaumia roho wewe mswahili?
 
Hata kwny Mauaji ya Kimbari walishiriki mstari wa mbele kukusanya watutsi kwny Makanisa kama vile wanawaokoa lakini wakishajaa wanawaita Wahutu waje wawanalize, halafu cha kushangaza hao Watutsi waliowakusanya na kuwateketeza makanisani walikuwa Wakristo wenzao
Afadhali Waarabu wale Watumwa dhaifu waliwatupa bwagamoyo 😂😂🔥
 
Back
Top Bottom