Haya matatizo ya kukutana na singel mothers yasingekuwepo kama kila mwanaume anae dondosha DNA zake angekua baba bora. Unamzalisha mtoto wa mtu unasema si type yako huwezi kumuoa, unategemea ataolewa na nani?
Naona mtu anahamisha mada

Tulionywa Sana kuhusu ninyi
 
Mlishaambiwa hao raia wengi sio wema kama wanavyojipambanuaga mwanzoni. Wengine ni mashindikanaa ndio maana hususwa na watoto wao.

Sasa bana we chagua rasta au kipara mzae. Nobody is in control of your life but yourself.
Mkuu..shida Sio single mother, shida Ni Huyu mwanaume... Mwanamke unatoa wapi UJASIRi wakumwambia mwanaume...naenda KUTOMBWA tu Mara mojaa...nikimpa haiishi....Inamaana Huyu mwanaume Ni dhaifu Tena udhaifu uliopitiliza
 
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji1][emoji52][emoji16][emoji23]
Kishindo Cha Awamu Ya Tano

Nasema Uongo Ndugu Zangu!!!!
Kweliiii bwana Kennedy
 
Mwanamke Kama huyo si ndo ataeda kutombwa tu ...Tena ataona Afadhali..

Huyu mwanaume Ni dhaifu Sana..hiyo pombe Sio solution , solution Ni kumuacha Huyu mwanamke.

Ila ameshiashindwa masikini
 
Haa😁😂😀😅😄😏
Awamu Hii Tutaona Mengi Sana Na Kusikia
Anaaga Anakwenda Kutoa Ugwadu!!
😏🙄😐😑🤨 Lipo Tatizo Sehemu Sijui Hajawahi Kuiona Video Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Alisema Tafuta Mshikaji Mwingine
 
Mkuu Nimedinda hapa!!!! Hii koment!! Yako Naku"Imagine tuu huku:
 
Duuuuh..... Wanaume design yako wanapatikana wapi Jamani...maana Mimi nakutanaga na wanaume wanao jielewa...Dooh Mungu usinipe mwanaume Kama Huyu...Mdhaifu..

Pole Kaka...
mkuu ivi umeolewa? Ukuje uniliwaze basi nateseka sana
 
Haya matatizo ya kukutana na singel mothers yasingekuwepo kama kila mwanaume anae dondosha DNA zake angekua baba bora. Unamzalisha mtoto wa mtu unasema si type yako huwezi kumuoa, unategemea ataolewa
Kwani ulishikiwa bunduki ukaachie mapaja yako?

Inabidi mkubali kosa...
 
Hayupo tayar kwa ndoa na wewe na ameingia kwa ndoa either walitofautiana kidogo bibie akaamua kuanzisha maisha ila kuish na wewe anaish tuu ila hayupo tayar moyo wake wampenda ex wake,achana nae huyo ana ujasir sana had kukir kuwa "kwan nikimpa inaisha"hivyo sbb haiish atampa tena na tena upo tayar kuendelea kushare
 
NI SAWA NA KUUA NZI KWA NYUNDO...

HUU USHAURI WA KIPUMBAVU KULIKO WOTE...
 
mkuu ivi umeolewa? Ukuje uniliwaze basi nateseka sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh sitaki mwanaume Dhaifu anisogleee...komaa na huyo KAHABA WAKO ULIE OA..simnasemaga huyo ni chaguo lako...hata Kama Ni kahaba..

Heshima utaiskia kwenye vikao tu vya CCM..ndungu mheshimiwa wazir nk.
 
Duuuuh..... Wanaume design yako wanapatikana wapi Jamani...maana Mimi nakutanaga na wanaume wanao jielewa...Dooh Mungu usinipe mwanaume Kama Huyu...Mdhaifu..

Pole Kaka...
Mwanaume imara, msimamo na sauti ndio UANAUME...

Ukiona mwanaume unapandwa kichwani basi you re not a REAL MAN...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh sitaki mwanaume Dhaifu anisogleee...komaa na huyo KAHABA WAKO ULIE OA..simnasemaga huyo ni chaguo lako...hata Kama Ni kahaba..

Heshima utaiskia kwenye vikao tu vya CCM..ndungu mheshimiwa wazir nk.
November 19
Kumekucha
 
Niliwahi kusema kuwa single mothers wengi mentally hawako ok,majeraha ya kuachwa yanawafanya tofauti sana na wanawake ambao hawajazalishwa,ni wachache sana huwa wanajua kwanini wako vile na wanapoanza mahusiano mapya wanatakiwa wawe vipi,ila wengi ni pasua kichwa sana,akishaingia kwenye mahusiano mapya anakuwa kama yuko vitani ni full kupambana.Can you imagine mtu alikuacha baada ya kukutia ujauzito,tena inawezekana akaenda kuoa mwanamke mwingine,lkn inafika siku anakutongoza unampa,bila ya kujali una mtu kajitoa muhanga kukuchukua wewe na watoto wako akaamua kukulindia heshima,na usikute hata mitaani anatambulisha kuwa wale watoto ni wake...!
 
Mim hata siku moja nika semaga nikiona mwanamke anateswa na mwanaume kiukweli simuonei huruma,wacha ateswe tu maana ktk viumbe vilivyo jaliwa kutokuwa na huruma wala haya wanawake wanaongoza duniani,pia na wao wakipata fala kama Hilo jamaa lililo leta uzi wana linyanyasa haswa,mimi nilizaa na mmoja na tulikuwa hatuna mpango wa ndoa na hatukudanganyana tutaonana,Basi tukawa tunalea mtoto akakua hadi miaka minne na mama kipindi hicho kesha olewa na jamaa mwingine na huyo bwana ananifahamu,siku ya siku mwanamke ananiambia anaomba nimzalishe tena maana hataki watoto wake wawe na baba tofauti,nilimtimulia mbali na mpaka Leo hatusalimiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…