Na wanaotoa mimba je mnawaitaje?unakuta binti hana mtoto maziwa yashalegea,huko chini ndio usiseme
 
Na wanaotoa mimba je mnawaitaje?unakuta binti hana mtoto maziwa yashalegea,huko chini ndio usiseme
Mbona unazungumzia vitu viwili tofaut (kulegea maziwa ni tofauti na single mother)
 
Umenikumbusha kajamaa flani ukikaona kanapigaga mazoezi kana kakifua kama mlinzi wa yule msanii wanayemuitaga "dawimondu"
Sasa kajamaa kameoa single mother mdada ana watoto watatu kila mtoto na babake na hao watoto anaishi nao halafu baba zao wapo hapo karibu sijui kajamaa kanajiamini nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
itakua kanalizibuaga vizuri lile tundu la chini.. kingine ni kua wengi wao hao wenye "mbavu" wanakua easily manipulated kiakili na hisia. ..
 
Niliwahi kuwa na singo mama kila mara anamtolea mfano baba wa mtoto wake. Na hapo anataka ni muoe. Nika mpotezea mazima
 
Jiwe lime kupata.
 
Hicho kitu kinacho kupa mawazo ndio kitanzi chako kesho.
 
single mother pasua kichwaa pasua kichwa kabisaaaa nimewai date nao kadhaa
wanapenda umwinyi kuwa akisema kamaliza alafu wanavisirani na viburi kweli
ata umsaidie vipi bado anakuona kalio nikaona nitembe na ndesa
 
duh!!!pole kwa jamaa
 
Wakati mwingine single mama ni wazuri sana hasa wale ambao wameshaonja shubiri ya uchungu wa maisha wanakuwa na adabu sana utainjoy sana. usiwe na wivu sana mwanamke kutoa k yake ni jambo la kawaida sana na huwa hawaona hatari yoyote by nature la msingi heshima itunzwe vyema miongoni mwenu
 
Thank you
Shida sio kuzaa na mtu wala kutolewa bikra


shida ni mwanaume husika alipendwa vipi na mkeo!! Women wanapasha viporo kule wanakopenda

wanawake wengi wanaolewa hawajapenda sana tofauti na wanaume anakupenda ndo anakuoa

Ss tulizo la roho ya mke liko kwingine unategemea nini?!!
 
Mkuu, kuna tofauti kubwa kati ya "umalaya" na being a "single parent"
Kwaleo naomba niishie hapa...
Asilimia kubwa ya wanawake walio like hapa ni single mama

Tuendelee na mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…