Pole mkuu kwa Hilo lakin sio wote mkuu...tatizo tunaanza ku stereotype ma single mother eti wako hivyo...no bro...me nishakutana na zaidi ya hao watatu wameolewa wengine tangu mdogo mpaka nakua wapo na hao ma step-dad fresh tu yan...wengine wakitoka wametoka
 
Ukibakwa unahalali ya kuitoa!!!!!! Hiyo inaruhusiwa acha kutetea upuuzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbona povu sasa. Nyie waacheni wenye watoto oeni wengine.

Upuuzi ni kufanya single moms kama Wana ulemavu fulani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbona povu sasa. Nyie waacheni wenye watoto oeni wengine.

Upuuzi ni kufanya single moms kama Wana ulemavu fulani.
Hata wewe kama ni single mom pole, lazima tukueleze Ukweli! Huwezi kuolewa na mtoto akaolewa
 
Dah!! Jamaa yangu yule mwenye singo mama wa watoto 2 wakati alimdhibitishia yakwamba yeye hana mtoto kumbe dah..... Wacha nisubir movie yao itaishaje
 
Sawa boya endelea kubaki utakipata unacho kisubiri
 
Ebu tuwe serious kidogo! Ina maana jamii yako WOTE Dada, shangazi, binamu hakuna single mother? Usingependa siku moja waolewe? Au single mothers Ni watoto wa majirani? Tuache ubinafsi.
 
Umeeleweka sana mkuu [emoji123]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbona povu sasa. Nyie waacheni wenye watoto oeni wengine.

Upuuzi ni kufanya single moms kama Wana ulemavu fulani.
Kuzalishwa na kuachwa bila kuolewa ni kilema tayari hakuna mzazi anapenda binti yake azalishwe bila ndoa na kutelekezwa wazaz wanapenda kuona vijana wao wakiume wanaoa na wakike waki olewa hiyo ndiyo tamaduni na jadi ya mwafrica
 
Sasa wewe wa mwanamke wankuhusu nini wakati wana baba yao
Ushawahi kusikia wapi mwanamke anazaa watoto na kuwasahau.....

Nionyeshe mwanamke anaesahau watoto wake nikuonyeshe kiongozi wa CCM anaetaka katiba mpya.

Wanaume anaweza kuzaa na wanawake hata mia ni yeye tu speed yake ya kutia mimba na kutelekeza.

Sasa mwanamke anaweza kuzaa na kila mwanaume anaekutana nae....?! Kuna muda mwili utachoka tu.... Na hapo hatoweza endelea atabakia kulea tu na hiyo ndo sababu hakuna mwanamke anaetelekeza mtoto wake hata siku moja sababu akitelekeza mtoto ni wapi atapata mtu wa kumtunza uzeeni huko.....?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…