Wala usijisumbue

Wanajishauaga tu wakiwa JF

Wakiwa mtaani wanaoa single mother

Wazoee wanaume wa JF kwa mbwembwe hawajambo

Wengi wao masingle father ila shobo sasa.....
 
Kabla hujaoa singo maza hakikisha unao uwezo wa baba wa mtoto wake na kukanyonga katoto
 
Wala usijisumbue

Wanajishauaga tu wakiwa JF

Wakiwa mtaani wanaoa single mother

Wazoee wanaume wa JF kwa mbwembwe hawajambo

Wengi wao masingle father ila shobo sasa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kweli mno lol
 
Hello Wakuu

Nilikuwa na mahusiano na single maza mmoja tangu mwaka jana mwanzoni, huyu mwanamke nilikutana ane fb ye yupo Tabora.

Katika kuwasiliana na kuzoeana sana nikagundua ni single mama na mumewe alishafariki kwa ajali akamwachia mtoto wa kiume yup darasa la nne,

Ni mwanamke mpambanaji,anajielewa ana malengo mazuri tu na Maisha

Niliendelea nae nikawa mfariji wake kipindi cha msiba wa aliekuwa mzazi mwenzie, yeye yupo Tb mi nipo mkoa mwingine ,

Siku zikasogea hatimae tukakutana mkoani kwangu tukafanikiwa kufahamiana zaidi na kila mmoja kuweka hisia zake wazi kwa mwenzie

Kiukweli alikwepa sana kunipa utamu na kweli akafanikiwa,sikuwa na nia ya kumla na kukimbia ila ye ndo alikuwa anawaza ivyo

Nikaona okey sio mbaya akaniomba nimuoe! Sikumkatalia

Ila kadri nikilichakata lile suala naona litakwama tu sehemu, sio kwasababu kaninyima penzi lahasha wanawake ninao wengi tu ninawachakata,

ila yule single maza nilitokea kumwelewa tu na kumpenda kwa hali yake,

nilivyochakata ilo suala nikaona kikwazo kitakuwa kwa ndugu zangu tu, kila nikivuta picha dingi hatonielewa wala Mama acha hao Dada zangu wazaramo wale naona watanichana live

nikampa wazo tuzae then ndo mtoto atupe kiingilio cha kwenda kumtambulisha home, wazo halikumuingia hata,

Nikaona tofauti na hapo nitampoteteza muda,

nilikuwa nawasiliana nae kama dozi tunafurahi na kucheka kila siku, nikakata mawasiliano gafla bila sababu

kwa muda wa wiki tatu mfululizo ni kimya tu akipiga ntamwambia badae na iyo badae ndo kseho kutwa

Ikabidi anitafute analia nimwambie ukweli mi nikamchana live u uhusiano nimefeli mimi,

kama sikumuoa single maza huyu basi sioi tena singo maza

Atalia atakuwa sawa kuliko kumpotezea muda
 
Yaani mtu ana mtoto tayari ambae anamtegemea kwa kila kitu unataka ajirisk tena kubeba mimba kisa ndoa?? Je usipomuoa? Aya Je na wewe ukifa?? Japo sikuombei.na wanawawake wengi huwa tunakosea hapo mwishowe unajikuta na watoto sita kila mtu na baba yake
Huyu dada anajitambua sana tena anastahili zawadi.wanawake wengi tungekuwa hivi tungekuwa mbali
 
VIJANA MSIOE WANAWAKE WENYE WATOTO TAYARI, LAZIMA UJIULIZE ALIYEMZALISHA MBONA KAMUACHA? ZINGATIA HILO KWA USTAWI WA MAISHA YAKO, NA MSIMAMO UKIWA HUU TUTAKOMESHA TABIA ZA KUZAA WAKIWA NYUMBANI WATABANA MAPAJA WANAFUNZI HAWATATAMANI TENA KURUBUNIWA KWA CHIPSI MAANA ATAJUA NIKIBEBA MIMBA BASI MAISHA YANGU NIMEAMUA YAWE YA SINGO NA KUTUMIKA KAMA KIPOZEO, LAKINI PIA ITAWAPA UMAKINI DADA ZETU KATIKA KUFIKIRI MARA MBILI JUU YA KUANZISHA MAHUSIANO.
 
Aya ata kutoa utamu nayo shida mpaka nimuoe kweli mmh utakuwa uongo aisee,kama anajitambua alishindwa vipi kumshawishi mzazi mwenzie amuoe since mtot anamiaka miwili hadi anakuja kufa mtoto akiwa na miaka 8+,
 
Ukiamua kuoa niambie nipo tayari maana nyie wabishi kuoa nasikia ni watamu kweli coz kiukweli playboy/man are so sweet....wanakukunja kweli(tena mi ndo wale huwataki singlemom😂)
Naomba namba yako PM nikutafute tafadhali😎😎😎😎

#YNWA
 
Sikieni mabaharia wenzangu, tatizo hapa sio single mother tatizo ni aina ya single mother upo nae basi!..full stop!. Unajua nini, ni kweli kuna single mother miyeyusho sana kwasabab mwanamke yoyote anaweza kuwa single mother, kwahiyo yawezekana ukapata single mother ambae Bado anamegwa na mzazi mwenzie kama ambavyo pia asinge zaa nae halafu jamaa akammega kisera tu, kwan wangap wanandoa zao na wamezaa kwenye ndoa zao lakin Bado analiwa na ex wake ambae hana hata mtoto nae? wangap tumewaona!!? eeeh!!!?? Acheni mambo yenu mabaharia huo ushamba kuwasakama single mother halafu pia sio uwanaume, that show weakness...wewe huwezi achana nao but usikatishe wenzako tamaa ama kuongea shits humu....sio poa mazee

Adios Amigos 😎✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…