[emoji16][emoji16]kumbe mashuhuda tupo wengi.
Asikwambie mtu, halafu ubahatike sasa kukutana na single mother mwenye tako lake na kicmi kirefu mbona utajua kua hujui.

Single mother popote mlipo tembeeni vifua mbele.
 
Mtoa mada ni popoma tu...

Mwanaume bora kuwahi kutembea na kuishi katika ulimwengu huu nae si mwingine bali ni Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) alioa mwanamke ambae alikuwa ni single mother tena aliyemzidi umri kwa zaidi ya miaka 15.

Na hakuna mwanamke katika wake zake aliyempenda na kumuenzi kama Bi . Khadijah. Na si hivyo tu bado alioa single mother wengine kama Mama Salama na Mama habiba...na wengineo ambao walikuwa ni wajane. Na pia alioa mwanamke bikra ambae ni Bi Aisha.

So hapa inatuonesha kuwa mwanaume una uhuru wa kuoa mwanamke yeyote yule ambae amevutiwa nawe iwe kwasababu ya Uzuri , mali, nasaba au dini yake. Hakuna limitation katika hilo. Mwanamke kama msaliti ni msaliti tu..unaweza ukaoa mwanamke ambae hana mtoto na bado ukakuta hana bikra na akawa anaendelea kufumuliwa na ma ex wake .
 
Mbona mnawanyanyapa Single moms? Single Moms ni wazuri sana kwenye ndoa.
Tafadhari muwape heshima yao.
 
Ni heri uoe Single mother ijulikane na atakua na Adabu nawewe sababu unamtunzia mwanae nayeye umemheshimisha.
Kuliko kuoa ki binti hicho unachoona pisi kali ila tangu chuo kilikua kikitoa mgegedo ili ku clear supp, kilitoa mgegedo ili kufanyiwa homework na field report kutoka kwa wana, afu kametoa mimba 3, moja ya lecturer, moja ya mwana classmate na nyingine ya ex boyfriend wake.

So wewe unaona umeopoa kumbe umeoa mama wa maiti, kifupi wewe ni Baba wa kambo wa Maiti, k unaona inabana kumbe mwenzako anajua ameupiga mwingi hivyo huwa anaiunga kwa viungo vyote wanavyotangaza kina Joan na Kasuube cosmetic ashanunua uvumba, limao mpaka sabauni anaweka kunako ili ibane nawewe unaona ni bikra au alikua na ex 2 tu toka umpate.
Kifupi pole mdogo wangu bado hujaelewa vitu vingi.
Heshimu kila mwanamke, kuna mdada alishiriki tendo mara 1 au mara3 tu tena na mtu mmoja huyo huyo akapata na mimba na sasa ni single mother uki valuate mashine yake bado ipo sokoni mara 10 zaidi ya hako ka binti ukajuako wewe.
 
Yaani wewe kwa ulimwengu wa sasa unategemea kuoa mwanamke ambaye hatombwiii na wanaume wengine😲😲😲😲
 
Mwanaume bora kulingana na vigezo vipi?
Ni lini tulipimwa sote akaibuka yeye ndio bora kuliko wote?
 
Hilo ndo tatizo yaani ukioa single maza hata kama yupo vizuri kitabia, ndugu na marafiki wanakuona umefeli kabisa au kama huyo single maza ana kiajira basi wanajua wewe umefuata ka mserereko kwa huyo mwanamke. Mimi mwenyewe nilimkimbia single maza niliyempenda kwa sababu ya kuogopa kudharaurika mbele ya jamii.
 
Hiyo ndio akili bwana....unawapelekeaje wazazi wako mwanamke ambaye tayari wajubu walishamzalisha bwana. Nikuto thamini wazazi
 
Maneno ya kujifariji hayo
Kwan huyo singo maza una uhakika gani kwamba hajawahi kutoa mimba?
 
Hiyo ndio akili bwana....unawapelekeaje wazazi wako mwanamke ambaye tayari wajubu walishamzalisha bwana. Nikuto thamini wazazi
Mi wazazi wananichana live aisee ,yni hao ni sogea tukae eti nikamlipie na mahari se
Maneno ya kujifariji hayo
Kwan huyo singo maza una uhakika gani kwamba hajawahi kutoa mimba?
Kabisa mi binafsi ntawaheshim nitawajali singo mm ila sitawaow perior
 
Bora iliyotumika kuliko uikute ipo nusu mwenzako kashainywa ubaya si chupa kutumiaka sna ubaya ni kuikuta soda umenyweka kidog
sasa ikinyweka kidogo haishukiii!! ndo maana mnadanganywa ok! huyu kazaa watoto watatu! lkn mwngine hana mtoto kweli ila alitoa mimba saba! na kizazi kango'a utapiga mashine weeee olaaa!

siku umri umeenda na unawaza kwenda nje unaishia kwa huyohuyo mwenye watoto saba!.....huyu huku hamna kitu! na mali utamgawia, no bora uchukue huyu una uhakika atakuzalia tu sababu kizazi kipo ushahidi ni hao watoto wake!

lkn ambae hana mtoto na wewe huna!!...... hata wewe hutajiamini km una kizazi! hata km unae mmoja huko nje hutaamini ni wako mbaya zaidi km yuko km mama yake!! beba huyu mwenye watoto dogo uwe na uhakika!
 
Kula bonge la like, haya ya mwisho umemaliza kabisa. Utakuta mtu kajaza jaza mabinti mimba alafu yuko hapa busy kuponda single mother.

Ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba wivu na kutokujiamini ndivyo vinatusumbua
 
Singo Mother aiseeeeeeh hapana.

Wanajua ku pretend balaaa.
Kwa vijana wenzangu ukitaka maisha yako yarudi nyuma we ishi na single maza.
Yamenikuta najutaaa hata kuwasikia kwa kweli.
usijidanganye tabia ni tabia tu!! unaweza kuoa ''new one'' tena Bikra lkn watoto wasiwe wako! tena wote!! hasa km unaishi bongo! mnapigiwa sana na wapemba nyie watu!! sometimes house boy wako!

sasa sijui utalea au utaacha? na siku ukijua umesha choka mbaya!!

yeye atakwambia tu mwanao mnafanan mgongo!! jamani mweee!! .. weye bichwa hilooo...sasa mgongo wapi na wapi?saaana utapigwa nshuntama mtama!! hapo huchomoki akili yote kwisha! ni tako la mkeo tuuu!! unawaza kutwa nzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…