We ulinunua shamba lenye mgogoro ulitegemea nini. Sijui hata uliwaza nini mwanamke ana mimba ya mtu mwingine na wewe unajiweka hapohapo. Kiukweli ulifanya makosa mwanzo na hapo huenda mtoto akazaliwa zezeta maana ushamjaza uchafu ambao sio wa damu yake.
 
Umemkuta na mimba ya miezi mi3 na hukuwahi kufanya nae mapenzi sasa nani alikua anamsaidia kuongeza njiaπŸ˜…πŸ˜…
 
Pole sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unawezaje kumtamani mwanamke ambae unaona kabisa ana mimba ya msela mwingine? Au bro wewe huna hisia za kukinai?
Maana bora ungesema ulimtongoza na haukujua ana mtoto Sasa we uliona mimba kabisa na ukajipeleka? Mi siwezi ase
 
Nilikuwa nampenda kabla hata hana mimba sema nilichelewa kumwambia cos kwa kipindi hicho nilikuwa nina manzi so nimeacha na manzi wangu ndio kuja kumrudia nikakuta ana mimba hiyo ya miezi 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…