Nilikuwa nampenda kabla hata hana mimba sema nilichelewa kumwambia cos kwa kipindi hicho nilikuwa nina manzi so nimeacha na manzi wangu ndio kuja kumrudia nikakuta ana mimba hiyo ya miezi 3
Mi hata demu nimpende vipi nikigundua tu tayari ana mahusiano mengine naachana nae namfuta kabisa kwenye ubongo wangu, yaani nikimuona na mimba ndo nazika hisia kabisa sitamtamani tena
 
Pole sana mkuu
 
Usiingie kwenye mahusiano na mtu ambaye ametoka kuachwa au ana dhiki ya kuhitaji msaada wako. Mara zote atakuwa na wewe ili tu shida yake itatuliwe....kama hapo huyo dada aliamua kuwa na wewe sababu ya kuachiwa mimba, hana msaada, afanyeje sasa na wewe umeshajikok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…