Daah mkuu. So jamaa kayeya mazima?
 
Achana nae huyu.
 
Kuna mtu humu huwa anasema "haiwezekani mpira hata haujaanza timu pinzani inaongoza mbili au moja kwake hilo haiwezekani".

Ila sio kila kitu usichokipenda wewe Mkuu wengine hawapendi.
 
Hii huwa inaitwa buy one get two [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii huwa inaitwa buy one get two [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaa huo mzigo wa kumlea single mother na wanaye inabid uwe na moyo wa chuma kiukweli kwa usalama wako hutakiwi kuoa single mother
 
Hunijui mimi ni nani wewe, tatizo lenu hamjitunzi mnazaa kabla ya ndoa tukikataa kuwaoa mnatumwagia mapovu kammwagie mapovu yule aliyekuzalisha na kukuacha kwani mnavyopeana mimba mimi nilikuwepo??? By the way sijawah kumzalisha mwanamke then nikamuacha, mimi huwa nafanya mapenzi na mwanamke anayejielewa huwa sijihusishi kabisa na haya mashankurupepe ya mjini
 
Mke wangu mlokole
 
Kwa nini mwanamke azae na mwanaume mlevi ambaye hana future???
 
Daah pole sanaa mkuu umeandika kwa hisia sanaa polee na msamehe huyu kijana.
Huyo ni single mother ametelekezwa huko kwa sababu ya umalaya wake anakuja kunimwagia mapovu hapa apambane na hali yake
 
Lini hiyo nilifungua huo uzi uliokuliza by the way pole Sana na samahan pia, uwe makini sio unazaa kabla ya ndoa tena unazaa na watu wasioeleweka na kutambua umuhimu wa familia Kuwa makini usirudie kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…