Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Mwanzoni alianza vizuri lakini sasa hivi bunge limemshinda bora hata akikaa zungu pale huwa linakua bunge......huyu mgogo nadhani alivyoenda kutibiwa kuna screw walisahau kuzirudishia.
 
Au walizifunga vibaya
Mwanzoni alianza vizuri lakini sasa hivi bunge limemshinda bora hata akikaa zungu pale huwa linakua bunge......huyu mgogo nadhani alivyoenda kutibiwa kuna screw walisahau kuzirudishia.
 
kama mmefuatilia huyu ngugai amekua akinenepa sana siku za hivi karibuni sio yule aliyekuwa naibu wa makinda, nahisi mafuta yameshaingia kwenye ubongo!
 
Sasa uwaziri wa nin wakat yeye ni Mbunge na ni Spika?
Spika ni mtu mkubwa ujue ana mamlaka ya kuongoza nchi
Ndio atueleza ni kwa nini anaacha kuisimamia serikali na amebaki kujipendekeza serikalini.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ndomana huko kwenye mabunge Ya njee huwa wanaamua kuzichapa tu!

OvA
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ndio atueleza ni kwa nini anaacha kuisimamia serikali na amebaki kujipendekeza serikalini.
Ndo kwa maana nikadokeza huyo si wakwanza kuwazingua wapinzani mmemsahau 6?
 
Mnaweza kuwa mnasumbuka,ila ukweli hili jambo linamtesa sana yule mzee,naamini anakumbuka hilo,so in other way akiwa kwenye kiti hali ya hiki kitu inamjia,hata vijana wenzetu wenye chama chao hili hawawez kulipangua na kulikemea
Alitakiwa kuwa jela lakini kwa kuwa ccm ni wavunjaji wakuu wa sheria akaachwa agombee ubunge na kupewa kiti cha uspika. Hata angemuua yule mgombea mwenzake asingefanywa kitu kwa kuwa yupo ccm.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom