Lema huwa anaropoka hivi hivi, Ila yakiisha tokea ndiyo tunaanza kukumbuka.

Alimuonya Magufuli mwaka 2016 kuwa akiendelea na tabia yake ya kuwakandamiza Watanzania aaingevuka 2020.

Kweli tumezika Mwendazake March 26, 2021, japo miezi 4 iliongezeka
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha SGR kwa mwenyezi Mungu kufa siyo adhabu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona yeye kabla hajabadilika hawakumnenea mabaya!
 
Sasa kama alikuwa hajapona afanye nini au afe ili na watanzania wengine watibiwe? [emoji3] wanakosa tiba nzuri wanyonge mkuu!
 
Basi tuliza makalio yako heshimu maoni ya wengine,Ni Mungu tu ndo mwenye haki ya kuhukumu
Halafu siku quote ujinga wako sawa nilitoa maoni yangu kama wengine, au wewe ni hawala yake!
 
Ni Muda wa spika kupisha nafasi hii muhimu na aende akaandike kitabu cha kujisifia. Tushukuru Mungu huyu dikteta hajapewa wizara sijui tungekuwa wapi. Huyu ndiye spika alifanya kenyeli kwa wabunge kupigwa risasi, kufungia wabunge kichama, kutaka kufanya Bagamoyo china town na kuweka wabunge feki wa Chadema bungeni. Kama mtu ni spika tu anajipa nguvu hivi je angepewa nchi tungekuwa wapi? Amefika wakati wa kuwapangia wabunge kuongea nini wakiwa nje eti anajifanya anapenda na kuheshimu wanawake!!!. Tunamuomba angatuke kwa manufaa ya umma
 
Ikumbukwe mwana wa Adam amepewa na Mumba wake kuchagua mema na mabaya, sasa isijekuwa tunaingilia mamuzi ya MTU bila kujua.
 
Hiyo pimbi tu.
 
Huyu Mungu mnampa majukumu mengi hata ya uzembe wenu. Magufuli kaambiwa kuna COVID19 vaa barakoa, keep distance ikibidi pata chanjo. Yeye akapuuza, Corona ikamuondoa, bado unasema ni mipango ya Mungu??

Unaona treni inakuja, wewe huipishi kwa kuwa kama siku yako huwezi kufa? Muacheni Mungu afanye kazi zingine
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha SGR kwa mwenyezi Mungu kufa siyo adhabu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile apu
 
Usishangae mpaka kufika 2025 October Baraza kuu nalo likawa halijakaa kusikiliza rufaa! Hapo ndo utajua stering wa mchezo ni nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…