Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha SGR kwa mwenyezi Mungu kufa siyo adhabuLema huwa anaropoka hivi hivi, Ila yakiisha tokea ndiyo tunaanza kukumbuka.
Alimuonya Magufuli mwaka 2016 kuwa akiendelea na tabia yake ya kuwakandamiza Watanzania aaingevuka 2020.
Kweli tumezika Mwendazake March 26, 2021, japo miezi 4 iliongezeka
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app