Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Wasalaam.

Hakika spika ni dhaifu kwa maana amekua akitumia mamlaka yake vibaya kwa kubambikia kesi wabunge wote wenye mawazo tofauti na fikra za mwenyekiti wa ccm.

Ameagiza kina gwajima wahojiwe na kwa mashtaka ya kubambika ambayo hayana tija kwa taifa na kupelekea bunge lote kuonekana dhaifu. Mwisho anatudanganya yesu alioa na alisafiri na mkewe inasikitisha.
 
Wasalaam.

Hakika spika ni dhaifu kwa maana amekua akitumia mamlaka yake vibaya kwa kubambikia kesi wabunge wote wenye mawazo tofauti na fikra za mwenyekiti wa ccm. Ameagiza kina gwajima wahojiwe na kwa mashtaka ya kubambika ambayo hayana tija kwa taifa na kupelekea bunge lote kuonekana dhaifu. Mwisho anatudanganya yesu alioa na alisafiri na mkewe inasikitisha.
JamiiForums1663248724.jpg

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam.

Hakika spika ni dhaifu kwa maana amekua akitumia mamlaka yake vibaya kwa kubambikia kesi wabunge wote wenye mawazo tofauti na fikra za mwenyekiti wa ccm. Ameagiza kina gwajima wahojiwe na kwa mashtaka ya kubambika ambayo hayana tija kwa taifa na kupelekea bunge lote kuonekana dhaifu. Mwisho anatudanganya yesu alioa na alisafiri na mkewe inasikitisha.
Spika si dhaifu.....

Mh.Ndugai anasimamia TARATIBU ,KANUNI NA SHERIA ZA BUNGE....

Mnataka asizisimamie?!!!
 
Mtu anaongopea bunge....

Eti anasema kuwa wabunge hawakatwi P.A.Y.E katika MISHAHARA yao......

Na Kama alidhamiria POSHO basi posho hazikatwi PAYE.....
 
Hapo Hanna spika Ila Kuna mpenda sofa kutoka kwenye chama chale ova.
 
Imekua desturi ya huyu mheshimiwa sana kutisha kila mtu anayekosoa mwenendo wa bunge, spika mwenyewe au hata mambo ya serikali kuu. Hata pale jambo linalokua halihusiani na bunge mzee wangu huyu amekua akitumia vikao vya bunge kutisha wakosoaji hao.

Ninachokushauri mheshimiwa kama unaona hayo yanayokosolewa si sahihi basi njoo na majibu kwa hoja sahihi. Hii ya kutisha watu inaonyesha ama hujipangi pindi unapotoka kujibu au yanayosemwa ni kweli ila hupendi yapingwe.

Ni vyema pia kukaa kimya ili labda tusijue unaegemea upande upi japo wengine tunaujua
 
Wajibu wetu kama wananchi ni kusema pale panapostahili kusemwa. Kupokea ushauri ni wajibu wa kikatiba kwa kiongozi yeyote nchini.

Kiongozi anayetisha Raia kutumia uhuru wake wa kujieleza ni kiongozi asiyestahili kuhudumu Ofisi za Umma hata kwa dakika moja.
 
Imekua desturi ya huyu mheshimiwa sana kutisha kila mtu anayekosoa mwenendo wa bunge, spika mwenyewe au hata mambo ya serikali kuu. Hata pale jambo linalokua halihusiani na bunge mzee wangu huyu amekua akitumia vikao vya bunge kutisha wakosoaji hao.

Ninachokushauri mheshimiwa kama unaona hayo yanayokosolewa si sahihi basi njoo na majibu kwa hoja sahihi. Hii ya kutisha watu inaonyesha ama hujipangi pindi unapotoka kujibu au yanayosemwa ni kweli ila hupendi yapingwe.

Ni vyema pia kukaa kimya ili labda tusijue unaegemea upande upi japo wengine tunaujua
Ndugai ni chawa mkuu wa mwendazake na waliamini hii nchi ni mali ya bibi yao,ndugai bado anahisi nchi inaongozwa na mwendazake,anawakati mgumu sana bunge lake halina msaada wowote kwa wananchi zaidi ya kutafuna kodi zetu na kunenepeana hovyo tu kama viboko naamini yana mwisho vinyago vichongwe na magufuri alafu vitutishe wakati mchongaji anatafunwa na funza chato huko.
 
Imekua desturi ya huyu mheshimiwa sana kutisha kila mtu anayekosoa mwenendo wa bunge, spika mwenyewe au hata mambo ya serikali kuu. Hata pale jambo linalokua halihusiani na bunge mzee wangu huyu amekua akitumia vikao vya bunge kutisha wakosoaji hao.

Ninachokushauri mheshimiwa kama unaona hayo yanayokosolewa si sahihi basi njoo na majibu kwa hoja sahihi. Hii ya kutisha watu inaonyesha ama hujipangi pindi unapotoka kujibu au yanayosemwa ni kweli ila hupendi yapingwe.

Ni vyema pia kukaa kimya ili labda tusijue unaegemea upande upi japo wengine tunaujua
Shutup and squat, probably could the best word.
 
Mzuka wanajamvi!

Licha ya kuomba msamaha bado haitoshi. Sikiza kwa makini wewe Ndugai tena kwa makini sana. Ikitokea tena umseme mama vibaya nitakushughulikua mimi personally na mikono yangu. Chukua hii tahadhari na ujitafakari.

Tunawafahamu sana wenye tabia kama zako kwasabab maskio yenu ni kama ya kenge Hadi damu itoke Ndo mnasikia. HATUTAKI TENA KUSIKIA YEYOTE KWENYE CHAMA TAWALA ANAMSEMA MAMA VIBAYA. Ni onyo na amri kali nimetoa.

Tutamlinda mama hata kwa maisha yetu. Wewe mwenyewe ndugai ni fisadi umekwapua Sana unapata wapi ujasiri na kuhoji wengine? Unadhani hicho kitu ulichokalia ni kinga?

Jiuzulu mara moja na ushtakiwe iyo ndio pona yako.

Pole mama kwa hizi kero ndogo ndogo za kina ndugai. Hawa tuachie tu tutadeal nao.
 
Back
Top Bottom