Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Unakunywa maji ya mtaro wa maji machafu. Halafu unaanza kuharisha na kuugua tumbo unamtafuta Mganga nani kakuroga. We unaa akili kweli?

Mnategemea kupata Hoja za maana au akili katika mazingira haya?

 
Leo analazimisha wabunge wachanje UVIKO-19 NDUGAI na bunge lake dhaifu waliwabeza CHADEMA 2020 walipojitenga kuepuka maambukizi ya CORONA..

KAMA TAIFA TUNA KIONGOZI WA AJABU SANA KUWAHI KUWEPO KATIKA NATIONAL ASSEMBLY... kwa mabunge ya wenzetu ndugai asungekuwepo.....

Apelekwe MIREMBE
 
Vipi kuhusu gaidi mbowe kuliwa na na papasi lockup yeye sio dhaifu


USSR
 
Ndungai kwenye mbeleko ya mwendazake alitamba, akanunua wabunge wa upinzani, Juakali, Silinde, Mwambe, Covid 19. Nani alikua na uwezo wa kumhoji Ndungai katika uchafuzi alioufanya.
 
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge...
Wabunge wote kama hujahiari kwa mjibu wa mapendekezo ya tume ya rais kuchanjwa halafu mhimili mwingine unajidai kutumia vitisho (coercion ) kulazimisha kuchanja bila ridhaa inayozingatia (shaka, uhalali na usalama wa chanjo husika) basi pigeni kura ya kutokuwa na imani ya spika kwa kutumia ubabe kutekeleza matakwa binafsi.

1. Ukichanjwa hauwezi kusalimika na UVIKO-19
2.Usipochanjwa hauewezi kusalimika na UVIKO-19
3. Ukichanjwa unaweza kuambukiza UVIKO-19
4. Usipochanjwa unaweza kuambukiza UVIKO-19
5. Ukichanjwa au usipochanjwa mna uhai na mtakufa kwa namna Mungu atavyoridhia kufa
Virusi huua kimya kimya na Bakteria huua kwa maumivu kuanzia mwanzo hadi mwisho na ni vitu viwili tofauti

UVIKO-19 inasababishwa na virusi kwenye mfumo wa mapafu kwa kuhifadhi maji yenye uchafu kwenye mapafu badala ya hewa
 
Vipi kuhusu gaidi mbowe kuliwa na na papasi lockup yeye sio dhaifu


USSR
Hii mentality ya ccm, kuwatisha wapinzani wake kwa mateso na unyanyasaji, mauaji na utekaji, au kuwahonga kwa fedha na vyeo panapowezekana, haina mafanikio siyo tu hapa kwetu Tanzania, bali duniani kote. Watu kuitwa magaidi, huo ni ufinyu wa kufikiri kwa ccm. Mahakama iliwahi kukemea mtindo wa kesi za ugaidi enzi za uchaguzi wa marudio Igunga. Sasa ccm wameanza tena.

Huko ni kumjenga Mbowe ndani na nje ya nchi. Sasa ivi Mbowe anajulikana kwenye corridors za ulaya na Marekani, kama ilivyokuwa kwa Tundu Lissu kabla yake. Zamani ccm wakitamka tu CHADEMA chama cha Wachagga, tayari inatosha kuitikisa CHADEMA. Leo je? CHADEMA wameshavuka huo ujinga wa ccm. CCM sikio la kufa hilo
 
Tanzania ni nchi ya watu wapoolee sana, hivi kweli mbunge kusema ukweli anahojiwa na kitu kinaitwa eti kamati ya bunge, mbunge alikuwa akitetea wananchi walala hoi na wao walipe kodi. Lakini mpaka sasa watanzania tupo kimya hata kumpongeza Mheshimiwa Jerry Slaa.

Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, alisema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa aliyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo jimboni kwake.

"Mie nimeanza Ubunge juzi mwaka jana mwezi wa 11, kwahiyo nimekuta hayo yanayosemwa mengine yameshapitishwa tayari Bungeni na katika hili niungane na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba kwamba vikiliwa vya Mwali na vya Kungwi viliwe”

Bunge la Ndugai limekuwa ni chombo cha kulinda maslahi ya serikali badala ya chombo cha kuwatetea wananchi. Mfano wa mambo ya hovyo yaliyopitishwa kipindi cha spika Ndugai ni Pamoja na Kufutwa kwa fao la kujitoa kwenye mifuko ya jamii bila kushirikisha wadau (yaani waajiliwa), Kuonea wabunge wanao sema ukweli kwa maslahi ya watanzania, Kupitisha sheria za hovyo bila kuwashirikisha, mfano tozo kwenye miamala, kodi nyingi kwenye mafuta na nk. Kusindwa kuisimamia serikali hasa kwenye maswala ya rushwa.
 
spika hapitishi miswaada ,ni bunge!pamoja na mbunge wako wa eneo lako!!
 
Tanzania ni nchi ya watu wapoolee sana, hivi kweli mbunge kusema ukweli anahojiwa na kitu kinaitwa eti kamati ya bunge, mbunge alikuwa akitetea wananchi walala hoi na wao walipe kodi. Lakini mpaka sasa watanzania tupo kimya hata kumpongeza Mheshimiwa Jerry Slaa...
Bado yupo yupo sana.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom