Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Huyu Ndugai amekuwa Mara kwa Mara akiwatisha watu wanao kosoa bunge lao uchwara kuwa ni dhaifu eti tuu kwa kuwa wanayo Kamti yao ya bunge inayo husu Haki Maadili na madaraka ya bunge wasiliseme bunge lao wanalo liita tukufu kwa shetani.
Heshima ya bunge hilo haliwezi kulindwa kwa kuwaburuta watu kwa pingu au kwa hiari waje muwahoji wanapo wakosoa Bali matendo yenu mnayo yafanya mkiwa ndani na nje ya bungendiyo yanayo onesha taswira ya bunge lenu lilivyo na jinsi sisi wananchi tunavyo waona.
Wewe Ndugai ukiwa kama spika Mara kwa Mara umekuwa ukiagizwa na Rais mwenda huko kusiko julikana ambaye ni muhimili tofauti kuwa uwafurushe bungeni wabunge wanao toa mawazo yao tofauti na mawazo ya serikali na kisha serikali itawashughulikia wakiwa nje ya bunge na wewe umekuwa ukitisa bichwa lako kama mgomba kukubaliana na mawazo hayo unataka sisi tuliheshimu bunge hilo?
Sisi ndio tunao walipa mishahara na marupurupu ya kujikinai mnayo pata tunawapima na kuona kuwa hamtoshi na hta mkitumia maguvu gani kutufumba mdomo tunasema bunge hilo ni kituko kuliko maelezo.
Kituko kikubwa ni pale ulipo shangaa sheria kandamizi kwa raia iliyo pitishwa na bunge lako, ukiwa kama spika hukupaswa kushangaa tuu Bali kuachia ngazi babu wew hautoshi ktk kiti hicho.