Wewe ni mpumbavu. Ndugai kamsema vibaya mama wapi? Tanzanai ni taifa huru na raia wake wana uhuru wakutoa mawazo na kuthaminiwa utu wao kwa mjibu wa sheria. Hutaki hamia Afghanistan.

Sisi wenye mapenzi mema na nchi tuna advocate majadiliano na kukosoana kwa heshima bila kugombana wala kudhalilishana. Tofauti ya mawazo ndio msingi wa maendeleo na si uadui.

Kosa la Ndugai ni kuongea kitu anachokiamini kuwa ni sahihi mahala pasipo sahihi. Lakini hajatukana mtu waka hajafanya kosa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mbona hakuongelea 1.5 T Jiwe alizolamba? Hadi akimzuia na kumtishia mzalendo Assad.

Pona yake ni kujiuzulu uspika na kushtakiwa. Baas!
 
Wewe mwenyewe ndugai ni fisadi umekwapua Sana unapata wapi ujasiri na kuhoji wengine?
Kwa hiyo kukopa kwa mama ni ufisadi unaoufananisha na ufisadi wa Ndugai? Tumia akili wewe unaweza dhani unatatua tatizo kumbe u are doing its verse versu!!!
 
Mbona hakuongelea 1.5 T Jiwe alizolamba? Hadi akimzuia na kumtishia mzalendo Assad.

Pona yake ni kujiuzulu uspika na kushtakiwa. Baas!

Huna lolote wewe ni mchimba chumvi njaa kali mama kidogo mama anakuzaa? Mama yako yuko bush anapigika kuita mama za wengine mama zako nao upungufu wa akili.
 
Mbona hakuongelea 1.5 Jiwe alizolamba? Hadi akmzuia na kumtishia mzalendo Assad.

Pona yake ni kujiuzulu uspika na kushtakiwa. Baas!
Ulitaka aongelee za JK zilikopwa na kupelekwa wapi? Onyesha kazi gani zilifanya. BTW, ni binadamu mwenye kasoro kubwa peke yake ndiye atalalamika kuhusu mikopo aliyokopa Magufluli kwa kuwa kazi yake imeweka record ambayo haijawahi kuwekwa tangu nchi hii ipatikane.

Deal na hoja.
 
Kwa hiyo kukopa kwa mama ni ufisadi unaoufananisha na ufisadi wa Ndugai? Tumia akili wewe unaweza dhani unatatua tatizo kumbe u are doing its verse versu!!!
Dogo acha bla bla bla nyingiiiiiii za kisoro. Jikite vizuri kwenye mada iliyopo mezani.

Sauh'waaah
 
Huna lolote wewe ni mchimba chumvi njaa kali mama kidogo mama anakuzaa? Mama yako yuko bush anapigika kuita mama za wengine mama zako nao upungufu wa akili.
Arovera bana. Bora uache tu kuendesha matrela. Yani unachukua wiki nzima kufikisha mzigo Uvira Congo kutoka Dr Port kisa umbea na kula hovyo hovyo njiani kwa mama ntilie na kupiga umbea na madereva wenzake. Kila baada ya kilomita 80 lazima upaki.
 
Daah! Hii kali.ngoja tukae mkao wa kusoma comment,tujifunze.
 
Job Ndugai ni moja ya kiongozi hovyo kuwahi kutokea Tanzania hii.

Ni kiongozi anayetoa kauli bila kufikiria anachokiongea na anakiongea kwa watu gani

Job Ndugai astahili kuwa spika wa bunge anapaswa ajiuzulu kwa kauli aliyoitoa, hadi sasa alipaswa awe amejiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge

Tangu tupate uhuru haijawai tokea kuwa na Spika ndezi na hovyo kama Job Ndugai

Inaonyesha zahiri ni kiongozi asie kuwa na Heshima kabisa

Ukiangalia Jimbo la Job Ndugai halina Maendeleo yeyote hadi karne hii wanafunzi wa Jimboni kwake wanakaa chini

Amekaa bungeni zaidi ya miaka 20 lakini ukiende kwenye Jimbo lake ni moja ya Jimbo maskini sana watu wake hawajiwezi hakuna Maendeleo yeyote huduma za afya hamna

Kama Job Ndugai kashindwa kuleta Maendeleo kwenye jimbo Lake lipi atakaloongea watanzania tukamuelewa
Job Ndugai ni kiongozi mropokaji asiyekuwa na heshima ANATAKIWA AJIUZULU HAFAI KUONGOZA BUNGE

Kuna mda sijui uwa anasahau kumeza dawa zake anaweuka gafla
 
Hii imeanza lini wakati kuna watu wamepigwa risasi na wengine hawajulikani walipo kwa sababu ya kutumia haki yao ya kutoa maoni?
 
Hii imeanza lini wakati kuna watu wamepigwa risasi na wengine hawajulikani walipo kwa sababu ya kutumia haki yao ya kutoa maoni?

Mwulize Kikwete, hizo haki ziliodoka lini kwa misingi gani?
 
Yani unatoa vitisho kwa mtu alieeleza mtazamowake ili iweje.

Ficha ujingawako kidogo.
 
Safari hii kamchapa maneno mama kaishia kuomba radhi na mama kamchamba nadhan aliko huko kajifungia ndani tu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…