Kuna wakati hawa wananyinyiemu wanakua kama majibwa, kazi yao kufuata maagizo ya bwana wao.
 
Jamaa aliugua sana kiasi kwamba mimi nilishajua imeshakuwa niagieni. Mungu amempa fursa adhimu sana, aitumie vizuri hasa ukichukulia kuwa dada mwenye lafudhi mwanana lakin inayokereketa, aka Tulia, anapiga jalamba pembeni mwa uwanja. Maandalizi ya kushinda ubunge huko Tukuyu ni 100%, sasa kwakuwa JPM kaonyesha anapenda kufanya kazi na 'watu wake', basi ni vyema akaongoza bunge huku akimkumbuka IGP aliyepumzishwa-Mangu.

Kwa Magu hakuna cha kuku anayeatamia, wote wanachinjwa tu sikukuu ikifika.
 
chaga dema bwana.!
issue ya maana mmeacha
mmekalia kudiscuss mtu,
eti ooo maombi yangu ya kumwombe aponenayatoa!!!.
Mi nilizani mtasema namna ya kuzuia mchanga usipigwe..,
chadema kweli mmeisha ndembendembe???
 
Angeondoka tu
 
Tunaamini Watu waliochungulia kabur huwa hawapo sawa kiakil na huwa na jazba hatar
 
Mungu aturudishie Ndugai wetu kitandani na amuongezee mateso yake. maana SWAPO katika hali hiyo ya mateso huwa ni mwingi wa busara.
 
Mungu anamwona na malipo ni hapahapa,kwa kweli alimwonea sana mnyika ila Mungu ataona atakavyomlipa kwa uonevu huo.
Ndugai ana Roho mbaya sana na ndio kisa Mungu alimpitisha kwenye mapigo ya Ugonjwa ili atubu. Lakini amesahau kwa hasira zake iko siku atahukumiwa
Spika gani huyu ."I miss Samuel Sita".
 
Wapendwa nimekuwa nikimuona ndugai kama mtu asiye na busara wala hekima pia subira hana amekuwa ni mtu wa hasira tu kwa wabunge wa upinzani tu
Sasa yeye kama kiongozi wa bunge kuwa na hasira iliyopitiliza kwa wabunge wa upinzani tu huku wale wengine akiwatazama tu kwangu huo ni upungufu wa akili kwa mtu anayejiita kiongozi wa bunge
Na hii ipo pia kwa naibu wake tulia aksoni
 
Shida ni kufanya usicho taka kisa tu director kasema fanya hivi,ukitaka kujua mtu anae fanya kitu ambacho anajua akiko sahihi uwa anatanguliza kujitetea sana na ndicho alicho kifanya spika leo,hii imeonyesha anajua analofanya si sahihi!!!
 
Wanafuata maagizo ya muhimili uliojichimbia chini kupita mihimili mingine
 
Mimi toka alivyompiga mwenzake na gogo wakati wa uchujo ktk chama zake ...nilijua pale pagumu ktk maamuzi ya kibusara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…