Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
IKO POA BUNGE NALO LIMEANZA KUPOKONYA UHURU WA MAONI.
 
Yani hiki Kispika Job Ndugai hakitulii Dodoma utadhani nesi wa zamu...kutwa nzima kiguu na njia kwenda kupiga umbea Ikulu, na kama hakipo Ikulu kipo India kwenye matibabu, na kwa hakika ndo kinachoongoza kwa kulidhalilisha Bunge sasa! Kikiambiwa ukweli kinafyumu...

Na halaf ni kifupi mno...kimtu kifupi namna ile hakikupaswa kuachiwa mamlaka makubwa ya kuongoza mhimili muhimu wa dola kama Bunge

Pili, kispika ndugai ni kibaraka cha executive...hakina tofauti na Paul Makonda na yule Happiness wa Iringa kujipendekeza kwa Magufuli, kinatumia muda mwingi kufanya kazi za serikali badala ya kushughulika na masuala ya Bunge - ndo maana Bunge ni dhaifu; taasisi unayoiongoza haiwezi kuwa imara kama hushindi ofisini kwako - kwa hiyo kindugai kama hakipo Ikulu kipo kwenye matibabu India

Sasa kikiguswa kinakuja juu...

Mimi wakati mwingine huwa nahisi Ndugai alishiriki moja kwa moja kupanga njama za kutoa uhai wa Lissu - hiki kimtu kina roho mbaya hata ukikitazama uso wake tu unajua!
 
Bunge limetiwa kwenye mfuko wa koti katiba nayo inazsokotewa tumbaku Ikulu imekuwa sehemu ya kulia miwa...daadeki ngwanangenya.
 
Aisee jamaa aliona mbali sana,alivyomchambua Huyo ngudai aah Ndugai ndivyo alivyo hafai hata kidogo.
 
Tumeshuhudia malumbano makali sana ya wananchi, baada ya Spika Ndugai "kumsummon" CAG, Profesa Assad afike kwenye Kamati yake ya maadili hapo tarehe 21/01/2019

Katika tathmini yangu nimeona kuwa watu wengi sana wanampinga Spika Ndugai, hususani pale aliposema hata kwa pingu atahakikisha Prefesa Assad anafika kwenye kamati yake kwa ajili ya kuhojiwa kwa ambacho Spika Ndugai amekiita, eti amelivunjia heshima Bunge kwa kuliita dhaifu!
Swali la kumuuliza Spika Ndugai, hivi anadhani ni mtanzania gani ambaye hajui kuwa Bunge lake ni dhaifu na liko "controlled" na mhimili mwingine wa Executive??
Kama mhimili wake anaamini kuwa upo huru, ilikuwaje matakwa ya mamilioni ya watanzania kuwaangalia wawakilishi wao LIVE kwenye Bunge wakiwasilisha matatizo yao ya majimboni yalipuuzwa na badala yake yakatekelezwa "maagizo" ya Mheshimiwa Rais ambaye peke yake ndiye ambaye hakutaka Bunge lionekane LIVE??
Kama Spika Ndugai anaamini kuwa mhimili wake haupaswi kuingiliwa, ilikuwaje Mheshimiwa Rais alimsifu kwa namna anavyowatimua wabunge wa upinzani na yeye akamhakikishia kuwa atakapomaliza kuwatimua wabunge hao "wakorofi" ndani ya Bunge, amwachie yeye huku "uraiani" ambako ata-deal nao??
Kwa maoni yangu yeye Ndugai ndiye amayestahili kutiwa pingu na kuburuzwa mahakamani kutokana na mhimili wake wa Bunge kuwa dhaifu na kushindwa kufanya kazi wanayotakiwa kikatiba ya kuisimamia serikali na badala yake yeye amekuwa "akiikingia" kifua serikali hiyo
Na wala Profesa Assad hakufanya kosa lolote na ametimiza wajibu wake wa kuusema ukweli mchungu kuwa Bunge ni dhaifu kutokana na kitendo chake cha kuwakumbatia wezi wa Mali ya Umma
 
Sio siri tena kuwa bunge hili katika miaka hii mitatu tuu limepoteza heshima yake, kuaminika na limejaa migogoro ndani na nje kuliko mabunge yote yaliyo pita.
Tumeshuhudia kipindi hiki wabunge wengi wakitolewa nje Na kufungiwa kwa sababu za hivyo kabisa hivyo kuwanyima wananchi uwakilishi.
Haitoshi hayo, mbunge anashambuliwa akiwa kazini Spika anasimama upande wa wauaji kutaka mbunge afe kwa kumnyima stahili ya matibabu na kama sio kujitolea kwa wenye mapenzi mema basi lengo lake lingetimia.
Kuna aibu nyingi tuu, ndani ya bunge mbunge anatishiwa hajali huku mtu muhimu kama CAG anayumbishwa tofauti na katiba isemavyo.
Katiba na kanuni za Bunge viko wazi kuwa Spika akifedhhesha kiti na kuvunja maadili basi wabunge wanaweza kupiga kura ya kukosa imani naye.
JEE WAKATI UMEFIKA WACHUKUE HATUA KUMNG'OA KURUDISHA HESHIMA YA BUNGE?
Jee wabunge wa ccm wako radhi kuhimili aibu wakati wao kwa wingi wao wanaweza kumtoa huyo na kumweka mwingine wa chama chao? Au hakuna aliye bora zaidi ya Ndugai
 
Back
Top Bottom