Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,973
- 3,643
Kweli inaweza kubadilishwa baadhi ya vipengele na hata kuipata mpya. Lakini ishu ni nani wa kuileta
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba inabadilishwa baadhi ya vipengele kama vina manufaa ya Nchi sio msaafu au biblia ile kwamba hakibadiliki kitu..
Sent using Jamii Forums mobile app