Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Hakuna Bahati mbaya katika hili maana umuhimu wa bunge tunaujua na Spika Ndugai hatukushushiwa mawinguni tunamjua na akachaguliwa, Kwa nini hili lilitokea?
Bunge sasa linaitwa (hata wenyewe wanajiita) dhaifu, visa vya ajabu ni vingi, wabunge wanaovuruga kama Mlinga ndio tunawaona, kufukuzana ndio fasheni nk , yote chini ya uongozi mbovu wa Ndugai.
Mbunge kapigwa risasi badala ya yeye kuongoza mapambano ya kuwapata wahusika yeye anaongoza ya kumshambulia aliyepigwa risasi!
Huyu ni adui wa bunge iweje anaendelea kuwa spika?'
Na hata hao wapinzani mbona Hakuna jaribio la kumtoa hata kama litashindwa?
Jaribio la kumng'oa kiongozi huwa linampa wasaa wa kujitafakari.
Fanyeni sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi Hii unaweza kuta next President akawa Bashite au Polepole....!!
 
Adui kwako..kuwakumbusha wabunge kufuata taratibu na sheria ndio adui..
Mwanzoni mlisema drTulia mbaya bora ndugai akalie kiti..
Nyie hamnaga mtu mzuri na mtu akiwaendekeza kama alivyofanya jk basi mtatoa hadi chumbani kwa mke wake mlale nyie na mkewe kama mlivyokuwa mkimtishia jk kumwondoa ikulu kwa nguvu.
Sitta alijaribu kuwapa nafasi bungeni hadi akawa adui wa ccm ila kilichotokea ye mwenyewe alikishuhudia kabla hajafa..picha lilianza mkampa nafasi ya urais yule mliyekuwa mkimshambulia na kumtukana kwenye bunge la sitta..kilichofuatia mkamtangaza sitta kama adui wa kitaifa kwa yule bwana..kwamba sitta alikuwa na chuki zake binafsi ndio maana aliwaachia mumnange bwana lowasa.
Niliwahi kumuonya ndugai akiwachekea tu upinzani imekula kwake..nadhani alinielewa.
Bora abaki na marafiki ndani ya ccm kuliko kuwa na urafiki na upinzani ambao wanaangalia maslahi na wanakuacha muda wowote na kukuchafua tena..kazia hapo hapo ndugai..watanyooka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli inaweza kubadilishwa baadhi ya vipengele na hata kuipata mpya. Lakini ishu ni nani wa kuileta

Sent using Jamii Forums mobile app
OK hawawezi kuibadilisha kwa sababu wapo kwa maslahi yao binafsi wakijificha kwenye mgongo wa ukada wa vyama ila vizazi vijavyo naamini vitabadili hii mifumo mibovu iliyopo kwa ajili ya maendeleo ya Nchi.
 
Spika kazi yake ni kutoa sauti iliyochakatwa na mhusika mwingine,wala usilaumu.Spika haifanyi kazi ya kuchakata[emoji125][emoji125]

Membe Jr
 
Furaha ya nguruwe ni kujigaragaza kwenye tope hata kama limesheheni kinyesi !!!
Adui kwako..kuwakumbusha wabunge kufuata taratibu na sheria ndio adui..
Mwanzoni mlisema drTulia mbaya bora ndugai akalie kiti..
Nyie hamnaga mtu mzuri na mtu akiwaendekeza kama alivyofanya jk basi mtatoa hadi chumbani kwa mke wake mlale nyie na mkewe kama mlivyokuwa mkimtishia jk kumwondoa ikulu kwa nguvu.
Sitta alijaribu kuwapa nafasi bungeni hadi akawa adui wa ccm ila kilichotokea ye mwenyewe alikishuhudia kabla hajafa..picha lilianza mkampa nafasi ya urais yule mliyekuwa mkimshambulia na kumtukana kwenye bunge la sitta..kilichofuatia mkamtangaza sitta kama adui wa kitaifa kwa yule bwana..kwamba sitta alikuwa na chuki zake binafsi ndio maana aliwaachia mumnange bwana lowasa.
Niliwahi kumuonya ndugai akiwachekea tu upinzani imekula kwake..nadhani alinielewa.
Bora abaki na marafiki ndani ya ccm kuliko kuwa na urafiki na upinzani ambao wanaangalia maslahi na wanakuacha muda wowote na kukuchafua tena..kazia hapo hapo ndugai..watanyooka tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anaemtumia huyu supika kutoka mhimli uliojichimbia zaidi ,atambwaga supika Mara tu baada ya 2020 ili apewe anayetafuta jimbo Kwa udi na uvumba bibi kizee alieingizwa bungeni kupitia mlango wa nyuma .
 
Kwa kutaja deni la Mh Lema before 50m people in Tanzania and many other outside Tanzania si jambo la kiungwana.

Sisi ni binadamu, wengine wana madeni, ni wagonjwa, na matatizo mengi, ila huwa tunasitiriana.

Sioni faida yeyote au motivation yeyote ya kutaja zaidi ya kumdhalilisha, ujamzlilisha au kumhuzunisha yeye tu, bali

> Mke wake na familia yake.
> Watanzania kwa ujumla.
> Wapiga kura wake.
> Na wabunge wa vyama vote.

Yeye Lema amesema mtazamo wa kisiasa na kusema bunge ni dhaifu na yeye ni mmoja wapo, aja attack personality ya mtu?

Sioni kama ni suala la kiungwana Muheshimiwa wangu....sometimes wanadamu tukiwa kwenye stronge corner tunasahau kwamba tupo kwenye cycle, and the cycle is rotating, tusisahau kwamba kuna wakati tutakuwa kwenge weekest corner.
 
Kwenye kamati ingekua ni akili yangu ni kukichafua tuu maana nilikua namsikiliza kiongozi mmoja anadai kamati hii haijawahi mwita mbunge yeyote wa ccm means imeundwa sababu ya wapinzani yaani wenye muono wa ndio Mzee kuna waropokaji kama akina Musukuma Kibajaji eti nao na vitusi vyao hawajawahi fikishwa kweli kazi ipo!
 
Aisee nilikaa jana kona moja hv watu walisikitika sana kitendo hicho. Mwanaume kudaiwa ndio maisha yetu. Tena yeye ana uhakika wa kulipa kushinda tuliopo mtaani. Naamini hata yeye atakosa amani ya moyo wake hasa pale warakapoonana.
 
Kwa kutaja deni la Mh Lema before 50m people in Tanzania and many other outside Tanzania si jambo la kiungwana.

Sisi ni binadamu, wengine wana madeni, ni wagonjwa, na matatizo mengi, ila huwa tunasitiriana.

Sioni faida yeyote au motivation yeyote ya kutaja zaidi ya kumdhalilisha, ujamzlilisha au kumhuzunisha yeye tu, bali

> Mke wake na familia yake.
> Watanzania kwa ujumla.
> Wapiga kura wake.
> Na wabunge wa vyama vote.

Yeye Lema amesema mtazamo wa kisiasa na kusema bunge ni dhaifu na yeye ni mmoja wapo, aja attack personality ya mtu?

Sioni kama ni suala la kiungwana Muheshimiwa wangu....sometimes wanadamu tukiwa kwenye stronge corner tunasahau kwamba tupo kwenye cycle, and the cycle is rotating, tusisahau kwamba kuna wakati tutakuwa kwenge weekest corner.
Mtizamo wako tu huo,Mimi naona yuko sawa,ili,tuheshimiane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom