Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , alichaguliwa kuongoza bunge huku waliomchagua wakijua ni mtu makini mwenye uwezo wa kutafakari vizuri hivyo kuliwezesha bunge letu kuisimamia vizuri serikali na hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo mbali .

Lakini matendo na kauli zake bungeni kwa sasa ni dhahiri kuna jambo linamsumbua , hayuko sawa na kwa kweli huko tuendako asipodhibitiwa atatoa kauli ya kudhalilisha nchi

Natoa wito kwa Mamlaka yenye uwezo juu yake kumchunguza kwa lengo la kulinda heshima ya bunge na Nchi kwa ujumla

Naomba kuwakilisha.

Ujumbe kwa Moderator - Job Ndugai kwa vile ni spika wa bunge letu kujadiliwa haliwezi kuwa kosa , Kitwanga aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani alibainika kulewa akiwa ndani ya bunge ( na huenda alikuwa amevuta bangi pia ) , akatimuliwa na kuvuliwa uwaziri , tuacheni tuwajadili viongozi ili kunyoosha nchi .
#SPIKANDUGAIAKAPIMWE
 
Jenga booonge la mpicha katika ubongo wako viongoz wa juu wako somewhere alafu nchi iko mikononi mwake.

Bakora mkononi

Wakati wa Tulia wapinzani walimmis sana.
 
Tuwe makini katika kuchagua viongozi.Mwalimu Nyerere alikuwa anazingatia maadili ya mtu ndipo anamuteua.Sasa hatuna tena Mwalimu ambaye angeweza kukemea viongozi wanaolewa madaraka.Kwanza wananchi kuwanyima access ya kuona bunge live hili wananchi waone wabunge wao wanavyowatetea bungeni sio sahihi.Pili kuwadhalilisha wabunge wa upizani bungeni sio kitendo cha uungwana
 
Bwana job ndugai
spaka wsbunge.hata wachawi wanahistoria.unaharibu historia ya nchi yetu kwa mambo ya kipuuzi kabisa ati uonekane mkali kama magufuli au umfurahishe yye. unapotoka na unachekwa na wabunge wenzio wa mabunge ya nje.
Unauvaa ukali ukidhani unamkomoa Lema na mdee huwakomoi unajikomoa wewe na unaonekana speaker wa hovyo na mshamba kuwahi kutokea.
unapata wapi ujasiri wa kumtoa mwakilishi wa wananchi kwa kusema tu siyo fair? hivi fair manake hujui? unamtoa mbunge bungeni kwa kusema bunge ni dhaifu? kwani naye si ni dhaifu? ndiyo ni dhIfu kwakuwa ni sehemu ya bunge.
kuwatoa wabung kwakuwa ni wa upinzani imeshazoeleka na kumkataa CAG je? hao kina kabudi hawajakushauri?
Unachekwa.
 
Atakuwa amefanya kafara nzito
Anachonisikisha zaidi huyu jamaa, ni hali ya wapiga kura wake, tena alipozaliwa ni karibu kabisa na Kongwa mjini, lakini watu wa eneo lake kabisa, wana dhiki kuu ya maji yaani wanachimba makorongoni kama kuku wanaotafuta chakula kwa kuparua chini ili kupata maji. yaani kuna stand pipe moja tu, tena karibu na kwao, inayotoa maji kwa muda maalum.kijiji kizima kinakutania hapo, wanawake wanakesha kusubiria maji hapo,
Sasa nikiangalia na anachofanya huko bungeni..... !!!!!!? Daaaaaah...!![emoji31][emoji31][emoji31]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina elekea stress ni kubwa na yawezekana safari kwenda anga za juu(apolo) zinakaribia !
Kwa kutaja deni la Mh Lema before 50m people in Tanzania and many other outside Tanzania si jambo la kiungwana.

Sisi ni binadamu, wengine wana madeni, ni wagonjwa, na matatizo mengi, ila huwa tunasitiriana.

Sioni faida yeyote au motivation yeyote ya kutaja zaidi ya kumdhalilisha, ujamzlilisha au kumhuzunisha yeye tu, bali

> Mke wake na familia yake.
> Watanzania kwa ujumla.
> Wapiga kura wake.
> Na wabunge wa vyama vote.

Yeye Lema amesema mtazamo wa kisiasa na kusema bunge ni dhaifu na yeye ni mmoja wapo, aja attack personality ya mtu?

Sioni kama ni suala la kiungwana Muheshimiwa wangu....sometimes wanadamu tukiwa kwenye stronge corner tunasahau kwamba tupo kwenye cycle, and the cycle is rotating, tusisahau kwamba kuna wakati tutakuwa kwenge weekest corner.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnamatatizo nyie haya ndugai hafai mnafaa nyie. kama ndio basi kagombeeni 2020 nyie mnaofaa. mxiieeewww
 
Nadhani mkuu. Arudi India akawekewe akili mpya. Kiongozi huwezi sema neno lile wakati unajua wazi kuwa ni sekunde chache tu, umewaonea hao hao unao wabeza. Watakimbilia kwa nani tena?? Weye kama baba yao, mlezi wao, umeamua kuwa tosa unategemea nini??
tatizo mnapenda kulelewa. ndugai ni mtu wa msimamo ukifanya ushenzi anakunyoosha. pigeni kelele lkn habari ndio hiyo
 
Spika.
Ikitokea ni Spika hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya maradhi ya mwili au ya akili, then Ibara ya 84(7)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 itatumika, baada ya utaratibu wa kidakitari kuthibitisha afya ya akili ya Spika, then Kanuni ya 134, Fasili ya 1, 2, 3, 4, 5 na 6 za Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2007 zinaelezea namna ya kumwondoa madarakani Spika wa Bunge. Mwana jf mwenzetu, Wakili Msomi, anatufafanulia zaidi
https://www.jamiiforums.com/threads...-tanzania-anaondolewa-hivi-madarakani.399756/


mtaumia sana

mmeichoknoaweeeeee ili wasikomenti kitu
 
Back
Top Bottom