usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
Ndugai ni moja ya viongozi watakao kumbukwa kwa maovu yake mengi saaana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#SPIKANDUGAIAKAPIMWEJob Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , alichaguliwa kuongoza bunge huku waliomchagua wakijua ni mtu makini mwenye uwezo wa kutafakari vizuri hivyo kuliwezesha bunge letu kuisimamia vizuri serikali na hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo mbali .
Lakini matendo na kauli zake bungeni kwa sasa ni dhahiri kuna jambo linamsumbua , hayuko sawa na kwa kweli huko tuendako asipodhibitiwa atatoa kauli ya kudhalilisha nchi
Natoa wito kwa Mamlaka yenye uwezo juu yake kumchunguza kwa lengo la kulinda heshima ya bunge na Nchi kwa ujumla
Naomba kuwakilisha.
Ujumbe kwa Moderator - Job Ndugai kwa vile ni spika wa bunge letu kujadiliwa haliwezi kuwa kosa , Kitwanga aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani alibainika kulewa akiwa ndani ya bunge ( na huenda alikuwa amevuta bangi pia ) , akatimuliwa na kuvuliwa uwaziri , tuacheni tuwajadili viongozi ili kunyoosha nchi .
kwanii ulimaanisha nini ?Nani kasema anaumwa?!
Ndio ungeuliza kabla hujakurupuka!kwanii ulimaanisha nini ?
si useme ulichomaanisha basi ! mbona unaogopa sana kuumwa ? hilo ni jambo la kawaida tu .Ndio ungeuliza kabla hujakurupuka!
Mbona umekazania sana kuumwa!si useme ulichomaanisha basi ! mbona unaogopa sana kuumwa ? hilo ni jambo la kawaida tu .
Anachonisikisha zaidi huyu jamaa, ni hali ya wapiga kura wake, tena alipozaliwa ni karibu kabisa na Kongwa mjini, lakini watu wa eneo lake kabisa, wana dhiki kuu ya maji yaani wanachimba makorongoni kama kuku wanaotafuta chakula kwa kuparua chini ili kupata maji. yaani kuna stand pipe moja tu, tena karibu na kwao, inayotoa maji kwa muda maalum.kijiji kizima kinakutania hapo, wanawake wanakesha kusubiria maji hapo,
Sasa nikiangalia na anachofanya huko bungeni..... !!!!!!? Daaaaaah...!![emoji31][emoji31][emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye hoja bavicha wanakujaje hapa? Unataka kututoa kwenye reliBavicha sijui mnakula nini.Ni mwezi uliopita tu mlimsifia spika kuwa amejitambua kwa sasa yupo vizuri na sifa chungu nzima
Spika anabusara na hekima sana na ni mtu wa maamuzi.
Kwa kutaja deni la Mh Lema before 50m people in Tanzania and many other outside Tanzania si jambo la kiungwana.
Sisi ni binadamu, wengine wana madeni, ni wagonjwa, na matatizo mengi, ila huwa tunasitiriana.
Sioni faida yeyote au motivation yeyote ya kutaja zaidi ya kumdhalilisha, ujamzlilisha au kumhuzunisha yeye tu, bali
> Mke wake na familia yake.
> Watanzania kwa ujumla.
> Wapiga kura wake.
> Na wabunge wa vyama vote.
Yeye Lema amesema mtazamo wa kisiasa na kusema bunge ni dhaifu na yeye ni mmoja wapo, aja attack personality ya mtu?
Sioni kama ni suala la kiungwana Muheshimiwa wangu....sometimes wanadamu tukiwa kwenye stronge corner tunasahau kwamba tupo kwenye cycle, and the cycle is rotating, tusisahau kwamba kuna wakati tutakuwa kwenge weekest corner.
Hamna faida yoyoye ya chadema bungeni wafukuzwe wote.
Kama kuitana dhaifu ni jambo la maana sana kwao waende wakamuite Mbowe dhaifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo mnapenda kulelewa. ndugai ni mtu wa msimamo ukifanya ushenzi anakunyoosha. pigeni kelele lkn habari ndio hiyoNadhani mkuu. Arudi India akawekewe akili mpya. Kiongozi huwezi sema neno lile wakati unajua wazi kuwa ni sekunde chache tu, umewaonea hao hao unao wabeza. Watakimbilia kwa nani tena?? Weye kama baba yao, mlezi wao, umeamua kuwa tosa unategemea nini??