Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Speaker wa Bunge ndiye chanzo cha bunge zima kuchanganyikiwa. Kama baba wa bunge akiwa anaonekana waziwazi kuwa haridhishwi na jambo hili na lile la Magufuli au la Samia watoto wa bunge watakuwaje?

Mfano, maoni yake hadharani bila kufuata vikao juu ya Bandari ya Bagamoyo ni langu kuu la kutia Mashaka integrity ya maamuzi ya JPM.

Inawezekana jambo moja tu lililomfurahisha spika kwa awamu ya tano ni kuhamia Dodoma na miradi ya Dodoma na ujenzi wa SGR hadi Dodoma baaasi. Nothing less nothing more.
 
Sheria nyingi za hovyo hovyo kandamizi zimepitishwa na yeye na pia kuongezeka kwa umasikini unachangiwa na sheria mbovu wanazozipitisha hawajadili kitu cha maana ni kama kundi la WhatsApp la michezo au ngoma.

Kila anachoongea kigogo wao ndio ajenda yao kuu tatizo wamepitishwa wabunge wote bila kupingwa hayo ndio madhara yake.
 
😹😹 Ila Mama fundi kwelikweli!! Baada ya kumchana mtu makavu Laivu tena mbele ya kadamnasi, mhusika akatamani hata Dunia ipasuke aingie ndani yake maana sio kwa aibu ile ya mwaka!!!

nduguy.jpg
 
Pale Bungeni Hakuna Uongozi, Nadhani Elimu ya Speaker wetu ina Utata, Angekuwepo Ben Saanane angelikuwa Tayari Ameshahoji Hii elimu ya Mtu huyu Maanake the way anavyo-comments kwenye Michango Mipasho ya Wabunge Form Seven Inasikitisha.

Inawezekanaje Unampa dakika 15 za upendeleo Mbunge Form 7 (Kibajaji na Genge lake ) ndiye waanze Mipasho na Kuwadhalilisha Wasomi Kwenye Kikao cha Budget..
 
Lakini huyo Spika Ndugai kachaguliwa na chama chake yaani CCM.
Kama anasimamia na kulinda maslahi ya chama chake sioni kama kelele za nje ya bunge zitamwondoa.
Waliompendekeza ni CCM,Waliomchagua ni wabunge wa CCM.
 
Pale Bungeni Hakuna Uongozi, Nadhani Elimu ya Speaker wetu ina Utata, Angekuwepo Ben Saanane angelikuwa Tayari Ameshahoji Hii elimu ya Mtu huyu Maanake the way anavyo-comments kwenye Michango Mipasho ya Wabunge Form Seven Inasikitisha. Inawezekanaje Unampa dakika 15 za upendeleo Mbunge Form 7 (Kibajaji na Genge lake ) ndiye waanze Mipasho na Kuwadhalilisha Wasomi Kwenye Kikao cha Budget..
Hili suala la upendeleo ni hatari. Msukuma anamchambua bila staha prof. Twende. Spika anauliza kama anayechambwa yupo. Hata kama hayupo atayakoga tu. Angekuwa Waitara angetoa rungu mura.

Sheria inawaruhusu kusema chochote na kumsema yeyote ndani ya Bunge. Kwani inasemaje kuhusu kumpiga yeyote mradi iwe ndani ya Bunge?

Dr. Kimei kutaka kumrekebisha Msukuma kazuiwa. Jeshi kubwa la LY. Utashindwa mahali pa kutokea. Muulize Mwakyembe. LY wana airtime usipime. Hata Spika anawagwaya. Bunge la LY. Sifa kuu ya wabunge wa Tz ni KK!
 
Wamekalia Simba na yanga...nilidhani kama.viongozi Wana role ya kupromote na timu nyingine ndogo
 
Back
Top Bottom